Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

niende wapi ikiwa kwako ndo nimefika laaziz..?
mi nachohitaji ni hilo komwe lako ndio nimekupendea hicho! fungua moyo nikufungulie upendo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaaaa wee!!!
 
Mkuu sisi wengine ni Wazee wa Umri, hao Wajukuu tumewaachia nyie Vijana 😜🤗
mimi ni zuzu lkn sio zuzu kwa kiwango hicho! umetuachia vijana wakati kitoto ushakilegeza kinakuja kunywa juice...🤣
 
mimi ni zuzu lkn sio zuzu kwa kiwango hicho! umetuachia vijana wakati kitoto ushakilegeza kinakuja kunywa juice...[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee K sasa naenda kunywa Juice kwa babuu, bas twendee wotee, babuu angu hana kwereee.
 
Watu weuweeeeee!!!!! Mtu na gran bah wakee mjiniii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakujaaa kumaliziaa hiyoo juice.
Hahaha...............utanikuta karibu na kaunta nimeshika Kiko yangu navuta 😜
 
mimi ni zuzu lkn sio zuzu kwa kiwango hicho! umetuachia vijana wakati kitoto ushakilegeza kinakuja kunywa juice...🤣
Mkuu huyo ni Mjukuu wangu tu, si unajua utani wa Babu na Mjukuu 🤗
 
Nakuja babu niagizie kichaa cha diamond hapo kukukuku
Mjukuu unanipa kazi, hivi Umri huu nasemaje Mimi Kwa Waiter kwamba Babu yao nataka Kunywa Kichaa cha Diamond 😜

Anyways, nikuagizie ngapi lakini Mjukuu 🤗
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa sanaaa!! Had babuu anahamasisha mafiga 3, kwanini mie nisifuate?
Ba tamuu jiandae kupata wasaidiziii, lol
Hahaha...............hayo mambo Mwaka 47 ilikuwa yanafanyika kwa Siri mno.

Nyie miaka yenu hadi Mwanaume anamtuma mwenyewe Mkewe awe na Kidumu aka Danga ili kumsaidia Majukumu

Madanga ya Mke wangu ~D Voice ft Meja Kunta
🙌🙌
 
Back
Top Bottom