Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mtindi-Ulukama

Mwakalasya ,hili jina imenikumbusha mbali😂😂😂😂😂😂

Nkamu,kipome tumekichekecha kabisa😂
😂😂😂 Uniletee kipome na nguniani, nimix na maharage.!

Umeona hii ya maharage mateta
 

Attachments

  • IMG_2967.jpeg
    IMG_2967.jpeg
    1.9 MB · Views: 9
Hizi mboga ndio zimenikuza
Mama alizipenda sana
Mimi nilikuwa sizipendi😂😂😂💔💔

Yaani Nkamu sijui nikutumie tu kwenye bus😂
Maharage mateta ndio tunamalizia kuvuna
😂😂😂 Uniletee kipome na nguniani, nimix na maharage.!

Umeona hii ya maharage mateta
 
Umechange gear baada ya kukusanua? Ww uchoko umemaliza akili yako, alafu pia sasa hivi nakupasua ww na shangazi yako kumbe ndio mnajazana upepo
Aisee nimekuta umeni mention sana, nilikua nakunywa pombe nimerudi unasemaje? niendelee?
 
Mheshiiwa DC hayamambo hayahitaji hasira, we si ulisema hautukani?
Mi natoa dozi moja mara 3, asubuhi fika hapa kuna zawasi yako....

Hehehehehhhheeee, hahahahahahahahahahahhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hizi mboga ndio zimenikuza
Mama alizipenda sana
Mimi nilikuwa sizipendi😂😂😂💔💔

Yaani Nkamu sijui nikutumie tu kwenye bus😂
Maharage mateta ndio tunamalizia kuvuna
Nkamu nitumie kwenye bus na mafufu 😋😋

Yani hizo mboga nazipenda, mwenzio naishi km niko Mbeya
 

Attachments

  • IMG_2965.jpeg
    IMG_2965.jpeg
    251.3 KB · Views: 9
Naapa, hizi picha Mh DC amezituma sana JF, Wapuuzi hawawezi kuelewa...

I swear sina haja kumsingizia mtu, huyu jamaa ni bingwa wa ku post na kufuta chap, lakini wengine humu huwezi tuchezea akili, huwa anapost na kufuta chap...

Screenshot 2024-06-24 231351.png
 
Dah
Hebu nisije kuamsha majirani kwa kicheko😂😂😂😂😂😂😂
Nikalale mimi nimechoka
 
Wiki ijayo naenda Kyela nikabebe ndizi
Kuna ndizi hadi zinaoza

Mi nguniani napenda nile za nyanya
Maharage mateta nile na wali au ugali wa muhogo
Nkamu nna trip ya uko weekend hii mbona ntafungasha aisee!! Hakuna kitu nitaacha.

Mimi nazipenda hizi mboga mpk sijielewi
 
Back
Top Bottom