Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,622
- 23,192
Mbalanga loading......Tumoghele MBEYA
🙌🙌🙌🙌
Hii baridi ni hatari
Haya sasa
Ngoja nisome uzi😂😂😂
Mbalanga loading......Tumoghele MBEYA
🙌🙌🙌🙌
Hii baridi ni hatari
Haya sasa
Ngoja nisome uzi😂😂😂
Naomba unisamehe dada yangu🙌🙏Tumoghele MBEYA
🙌🙌🙌🙌
Hii baridi ni hatari
Haya sasa
Ngoja nisome uzi😂😂😂
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naomba unisamehe dada yangu🙌🙏
Nilikua nimetulia Ila jana kuna kachoko kakishirikana na shangazi yake wakaanza kunitukana bila sababu. So naomba uniwie radhi maana walivuka mipaka
Dah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aiseeee
My country pipo😂😂😂🤣🤣
Haya
Za Toka juzi jamani😂😂😂😂😂
Mje tutembee mjini
Nikikuona napata baridi nakua mnyonge, unisamehe🙌🙏😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwanza leo umeandika Nini kaka yangu?
Ngoja kwanza nisome 😂😂😂
Wizzy niache sijapanga kucheka leo 🤣🤣🤣Wapumbavu hawa, naona wanachezea sharubu. Mods wamekuja wameweka sawa nikapotezea, kumbe wameenda kuunga picha alafu walivyo wajinga wakasahau selfika ilifungwa hiyo tarehe
Haka kachoko kalikua kanasema kanavizia demu humu sijui ili iweje, lakini si aanze na huyu shangazi yake mwenye kichaka
😂😂😂😂😂Nkamu huko ss hivi maji wanakutana nayo kwenye supu na chai 😂😂😂
Km dar nasikia baridi huko si ndio balaa unakumbatia jiko.
Nguniani zangu hazijafika nimeandaa kipome kwa mbwembwe zote 🤣
Dah😂😂😂😂Nikikuona napata baridi nakua mnyonge, unisamehe🙌🙏
Walianza jana from nowhere tu wakanishambulia, wao walikua na tatizo na lamomy, Ila jana nashangaa na mm wameniweka tena kwa kunishambulia sana. Leo naingia nakutana na hizo mambo zao
Kuna kachoko flani hivi sijui kama unakakumbuka kalibadili I'd sasa hivi anajiita 100others, anashirikiana na shangazi yake mwenye kichakaDah😂😂😂😂
Pole sana
Nani huyo anakuchokoza shemeji yangu?
Umekitwanga vizuri?? 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakuletea na kipome nkamu😂😂😂
Huku Mbeya kila mtu ana jiko lake sasahivi nyumbani
Mkoleza moto ni mimi,ukifika tu nakukabidhi jiko lako😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kuna kachoko flani hivi sijui kama unakakumbuka kalibadili I'd sasa hivi anajiita 100others, anashirikiana na shangazi yake mwenye kichaka
Nilisema huku siingii tena na nilifata ushauri wako, ila leo naingia nakuta wananishambulia kinoma
Achana naoKuna kachoko flani hivi sijui kama unakakumbuka kalibadili I'd sasa hivi anajiita 100others, anashirikiana na shangazi yake mwenye kichaka
Nilisema huku siingii tena na nilifata ushauri wako, ila leo naingia nakuta wananishambulia kinoma
Nisamehe sana🙌🙏Achana nao
Twende tu siasani 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umekitwanga vizuri?? 😂😂😂
Hapo na jiko sitting room umenikumbusha Tukuyu, na kikombe chako cha mtindi pembeni unakigusa km hutaki, huku unaivisha hindi 😂😂😂
Basi hapo ni kuteta familia ya mzee Mwakalasya na mtoto wao Lusajo kampa mimba binti wa mzee Mwakipesile anayeitwa Atu 🤣🤣🤣
Sema una maneno wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nisamehe sana🙌🙏
Nitajitahidi kutokurudia haya