Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,564
Naomba unisamehe dada yanguππTumoghele MBEYA
ππππ
Hii baridi ni hatari
Haya sasa
Ngoja nisome uziπππ
Nilikua nimetulia Ila jana kuna kachoko kakishirikana na shangazi yake wakaanza kunitukana bila sababu. So naomba uniwie radhi maana walivuka mipaka