Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,423
- 94,805
Na kukunanga uduguu wangu, hawajui mapenzi ya kweli yapo.!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] couple ilivurugaa watu ilee hatariii!! Majamaa yanamfata PM awape details zangu!!! Sio wadada wala wazee kuhaha kujua ni kweli tunadate? Woiiiiiih
Boss mwenyewe ananikubalii kinoumaaaa!!!
Achana nao km wako ni wako. Uzuri shem anakupenda na anakuelewa toto la kingoni.