Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,413
- 94,774
Dalili zishaonyesha leo mtakuwa pamoja 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atalala kwakee.
Dalili zishaonyesha leo mtakuwa pamoja 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atalala kwakee.
Huku nipo kwa ajili yako love, tukimalizana hapa narud maeneo yangu 😎Vinini??? 🤣🤣🤣🤣
Ila Mbaga una vituko sana.!! Ushakuwa mwenyeji wa selfika, utaacha kuchangia zile nyuzi zako za majukwaa mengine.
Wacha weee 😂😂😂😂Huku nipo kwa ajili yako love, tukimalizana hapa narud maeneo yangu 😎
Ndio love, tumalizane kwa kutumiana pics then nirudi nilipozoeaWacha weee 😂😂😂😂
Hatariiiii na nusuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu usinambie uliwapanga humu?? Ila umepata mashem wapole, halafu inaonekana wastaarabu km boss wa kampuni.
Ila wewe sasa ndio balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na unavyopenda pesa sasa!! 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ma ex zangu wa JF ni wapolee nyie, nachowapendeaa kwenye kutoa [emoji383], wako sharp na hawalalamikii.
Kuna wadada chuoni walikua wananionea wivuu, nikienda cafeteria bas najisosomolaa mwenyeweee!!!
Wotee wametokaa humu baada ya mie kuachanaa nao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mfyuuu!! 🤣🤣🤣Ndio love, tumalizane kwa kutumiana pics then nirudi nilipozoea
Najua Huwez kunizingua, soon pics zako zitakuja kwa wasap yanguMfyuuu!! 🤣🤣🤣
Una hatari wewe.!! 🤣🤣🤣Hatariiiii na nusuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbaga em nipumzishe kwanza 😂Najua Huwez kunizingua, soon pics zako zitakuja kwa wasap yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mie afu omba omba wa wazi wazi, sijifichii naomba liveee!!!Na unavyopenda pesa sasa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Km wanawake walikuwa wanakutumia faranga sembuse wanaume??
Uduguu rudiana na boss kubwa nipate bando mie, mwenyewe shem wangu alikuwa ananitumia vocha ya liten maisha muruaaa.!!
Shem nimemmiss kwa kweli
Amina kipenzi🙏🙏Amen 🙏
Usisahau kuishi yale niliyokwambia love, kila kitu kitakuwa sawa.!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ba tamu mtata ndo ananiogopesha hapo tyuuh, vinginevyoo mbonaa napandanishaa CD mie nnajarii bas.Una hatari wewe.!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi nilivyo muoga, nikiwa na mwanaume mmoja basi ni huyo huyo hata mtu akinitongoza naogopa!! Naona km ananiona nisivyojiheshimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amenishinda mpk dada nimeona kwenye simu yake jana anawadanganya wanaume wawili, NIMECHOKA [emoji23]
Shem asikie kilio changu, kapo yenu ndio kapo yangu pendwa humu. Nilikuwa nacheka muda wote unavyompiga biti shem ukiona ananyapia sehemu 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mie afu omba omba wa wazi wazi, sijifichii naomba liveee!!!
Uduguuu sitakiii had wanawakee wananitumiaa helaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee boss's sikiliza kilio cha shem wakoo!!! Em rudi kwangu, yeye apatee bundlee.
Ila kusengenya dhambi, boss anatoa hela bhanaa, nilivyo mkaksi na hela hata sijistukii, kwa week hata mara 3 naombaa hela afu siogopi na sijari lolote na ninapewaaa.
Bado kwa kijana handsome, had nlimfundisha namna ya kuwapiga wazazi wake wamtumie ili anipe mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimevuka viwango vya dhambiiii!!!
🤣🤣🤣🤣🤣 uduguu unapandanisha km CD!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu ba tamu mtata ndo ananiogopesha hapo tyuuh, vinginevyoo mbonaa napandanishaa CD mie nnajarii bas.
Aaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] couple ilivurugaa watu ilee hatariii!! Majamaa yanamfata PM awape details zangu!!! Sio wadada wala wazee kuhaha kujua ni kweli tunadate? WoiiiiiihShem asikie kilio changu, kapo yenu ndio kapo yangu pendwa humu. Nilikuwa nacheka muda wote unavyompiga biti shem ukiona ananyapia sehemu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku alimtania kivuruge mmoja si nikashangaa kapandisha uzi wakati mwenzie alikuwa anamtamia nilichekaaa mpk machozi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila jf ma dish mengi.!!
Nikaona anauliza kabisa “boss wa kampuni ana mtu?? Sio nimchukue muanze kulalamika.”
Hebu shem rudi nimekumiss mwenzio [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mie nabebishana na boss hapa majukwaani, handsome boe anapiga kimya kimyaa!! Mie ntakuja kufa mwili unatetema km jenerata bovu LA kingimax. Khaaaah.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uduguu unapandanisha km CD!!
Watakuja wagongane wauane shauri yako