Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa kweli Mkuu

Ndiyo maana Wazee tulianzisha ule msemo kwamba "Kitanda hakizai haramu" ili kuendana na uhalisia

Unaweza kusafiri kwenda operation nje ya Nchi ama Mkoa fulani miezi 3 hadi 12 na ukarudi ukamkuta Mkeo ana ujauzito ama ana mtoto kabisa, huyo mtoto utamlea na kumtunza as if hakuna kilichotokea 🤗

Nyie Vijana Siku hizi hadi mnaenda kupima watoto wenu DNA ndiyo mkubali kulea na kuwatunza hao watoto 😜🙌
🤣🤣🤣🤣
 
kumbuka umesema tuachane na miti,,means wote si ndio 🤣 sasa apo nmejtolea mfano mimi🤼‍♀️
Kitu kikiwa muhimu haimaanishi nyie ndo mfanye, hivi nyie watu wa ulaya ndogo mmemkosea nn Mungu....baridi ziwaadhibu nyie bado mlime mazao yanayochukua zaidi ya miaka 10 kukomaa
 
Back
Top Bottom