Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha 😂,, kufata mkumbo sometimes bwan,,m nyumbani apa hata bustani sina vile sipendi ukulima
Sio mkumbo sema si unakua unalia timing wakenya unawauzia yakiwa shamba bado mabichi, dadeq yule msomali wa tabora akakataza wakenya kuingia shambani
 
Huku Nyakibimbiri nilipo network hadi nipande huu ya kichuguu mamy sikusikii vizuri!

Ngoja nishuke nikapike yugali kwanza ntarudi kwenye kichuguu jioni.
wewe upike ugali leo na mimi najua una ka party kadogo ka kusherekea karma?😅😅😅kwanza leo hata njaa hausikii.
 
Back
Top Bottom