Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,056
Itakua nilitingwa jamani hakii sijawahi bahatika kukuona!Kwani nikiwekaga wewe huwa unakua wapi? Juzi nilishusha album nzima ila mchumba akanipiga stop ety wataniiba😂🤸
Naomba nifanyie manuva Jioni yangu iende vizure jamani kuibwa ibwa ni tabia ya mtu tu mchumba aondoe wasiwasi
👀