😂😂😂😂😂 umenifurahisha na yanavotia kinyaa then nisubir kuona mxiuuuNa wewe ukaamini?? Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Utasubiri sana kuona papa langu, vuta kiti ukae 🤣🤣🤣🤣
Kuna app nimeitumia ili iendane na wakati 🤗picha ya mwaka 47 ila code za 2024 hongera babu ulikua mbele ya mda sana .
siwezi bishia mzee naogopa laana🤼♀️Kuna app nimeitumia ili iendane na wakati 🤗
Kuwa na imani na Wazee 😜
Asali ilifanya nini Mjukuu, usikute Profesa Janabi ametuelekeza Wazee tutumie asali kutibu maradhi yetu ya Presha Mimi nisijue huku Kijijini 😜Babuu kama babu ndiyo maana yalikuja mambo ya Asali... Muwe na jumapili njema. Yenye amani na utulivu. Kuchat na picha... ✌️
Duh! mi najiulizaga hawa wanaosubir mti mpaka ukomae ndo wauze, mparachichi mpaka ukue na mazao mengine yanayochukua mda mrefu huwa wanaishije? Labda hicho kilimo kiwe ziada tu kwakona kupanda tena miti hadi ikae sawa kuanzia 5 years .........
Nimefurahi kusikia hivyo Mjukuu, ndiyo maana Babu yako hapa siachi kukukumbuka Mjukuu wangu 🤗siwezi bishia mzee naogopa laana🤼♀️
Mkwe mimi namtaka mtoto wakoMkuu kwema. Mtunze mama mwana vzr
Kwa kweli MkuuSomo zuri saana,
Hakika mliishi kwenye Zama njema, Sisi tupo na GenZ ya Tanzania, balaaa tupu. Bora Ile GenZ ya kenya
miti ndo hukaa mda mrefu,ila parachichi zile za kubadi ni mda mfupi tu kuanzia mwaka coz mingine huzaa ikiwa midogo balaaDuh! mi najiulizaga hawa wanaosubir mti mpaka ukomae ndo wauze, mparachichi mpaka ukue na mazao mengine yanayochukua mda mrefu huwa wanaishije? Labda hicho kilimo kiwe ziada tu kwako
Nilidhani ukipona utapunguza mdomo kumbe hamna kitu
ila babu punguza tantalila khaah 🤣Nimefurahi kusikia hivyo Mjukuu, ndiyo maana Babu yako hapa siachi kukukumbuka Mjukuu wangu 🤗
Unakaa mbagala alaf nitoe ng'ombe 15? Haupo serious 😅Nilidhani ukipona utapunguza mdomo kumbe hamna kitu
Bila ng'ombe 15 haunitoi kwetu
Acha ubahili! Mwambie Mzee analyse akupe ng'ombe wako wa urithi na nguruwe mmoja ulete kwetu🤸Unakaa mbagala alaf nitoe ng'ombe 15? Haupo serious 😅
Hii taarifa nilikuwa nayo tangu last month, japo alisema anakuja kwako ulikuwa umemwita.
Wacha nipunguze kuvuta hii Kiko, huenda Kuna kitu kimechanganywa 🤗ila babu punguza tantalila khaah 🤣
usipunguze ila acha kabisa 🤼♀️Wacha nipunguze kuvuta hii Kiko, huenda Kuna kitu kimechanganywa 🤗