Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Halafu babu unazingua 😍😍😍
Mbona kijana umemzidi mpk mjukuu wako yule uliyechukua mahari, yeye mzee ujue lol!

Babu ndiomana kina bibi wanapishana vikumbo, kumbeee nishajua 🤭
Picha ya Mwaka 47 hiyo ujue 😜

Na Uzee huu naanzia wapi Babu yenu mambo hayo 🤗
 
Weka picha yako halisi, acha kudownload zile za insta 😅.

Next time ukiweka picha ya uongo, naweka yako ya ukweli ili unune 😎
Wewe hujaona picha niliyoiweka unakimbilia kusema sio halisi😎
Halafu picha yangu hauna tulia
 
Back
Top Bottom