mwaka jana mbona tu apo, ilikua hio bei,sasa si unajua wabongo walivoona ivo woooote wakalima mahindi,,so yamekua mengi bei ndogoNgoja msimu wa njaaa uje Kuna kipindi debe Moja ilikua 20000-25000
Wala hudanganyi wii ukweli mtupu! Mitandaoni watu wengi wana stress haswaa za kimahusiano ndiomana hawana cha kupoteza.!!Kama na andika uwongo nambie my wiii😁😁😁
Mambo dada yangu kitambo sana aisee sijakuona humu vp mwanza mnaendeleajeKaka angu Vin
Shauri yako my ex😅Kwani unamiliki mgodi 🤣
😁🤣🤣😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wala hudanganyi wii ukweli mtupu! Mitandaoni watu wengi wana stress haswaa za kimahusiano ndiomana hawana cha kupoteza.!!
😂😂😂Icho kipapa loohYa moyoni mtu hawezi kusema labla mhusika awe malaya asiye jali lolote we unafanya masihara kipapa live kiwe Jf 😁😁
Mi na hasira zangu hizi najiuwa kwa kweli
kabisa wema ni akiba na karma is real. lolote baya utakalolifanya kwa mtu lazima likurudie tu, ni bora likukute umeshajiandaa.😂Had mtu ajitundike ametanguliza mema gani huko Kwa Mungu Bora upambane na dhambi zako hapahapa 😂
alafu watu wasichojua kuwa wema akiba ukimstiri mwenzio nawe utastirika hata na watu wengine huko
Na karma haimuachi mtu ukitenda ubaya utalipwa hata km sio na uliemfanyia lazima ulipwe
Haha ficha kila kitu😅unataka uone kama nina manyonyo kama nanyonyesha NGO? au nifiche na manyonyo maana huku bana🤣
Nani huyo alileta kipapa😁🤣😂😂😂Icho kipapa looh
Selfika imenifundisha hata nikiwa na shemejiyenu nizime taa aipapase tu kwakweli 😂😂😂😂
Nishakuwa ex tena kwa mara ya pili nimelia sana 😭😭😭😭Shauri yako my ex😅
Eti Lamomy nani alituma kipapa😁🤣Ya moyoni mtu hawezi kusema labla mhusika awe malaya asiye jali lolote we unafanya masihara kipapa live kiwe Jf 😁😁
Mi na hasira zangu hizi najiuwa kwa kweli
sasa kwani picha yangu haiwezi kuwa tayari mtandaoni jamani?😅Ntakulinda .Ila ukileta ujanja wa kudanlodi nakutelekeza.
Oya brother mambo vipi😁🤣Aikoooo! nitumepo hapa au kwenye no ya 69😓😓 Odoo?
Mm hata sikuona muulize nuzulati 😀Nani huyo alileta kipapa😁🤣
aseee nimelia sana,,na nimeweka mayai 5 ili iwe nene balaa😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Usemage ndoosa, chips ndo vitu gani?
fresh bro mbona sikupati kakamkubwa maskani😓😓Oya brother mambo vipi😁🤣