Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,741
😁🤣😁😁🤣DuhMm hata sikuona muulize nuzulati 😀
😁🤣😁😁🤣DuhMm hata sikuona muulize nuzulati 😀
Sina privilege brother kule mode wamenipiga blokufresh bro mbona sikupati kakamkubwa maskani😓😓
jamani auntie ni ka baby boy. asante sana amekuwa mkubwaBila shaka babe girl anazidi kukua na anaendelea vyedi mamy msalimie sana!
Ndo ufala wa kutegemea shamba, mwaka huu gunia 40000.....hapo ukipiga hesabu ekari Moja trekta inalima kwa 45000, mbegu kwa ekari mifuko minne ni 72000, vijana wa kazi 50000, palizi Moja & mbili 50000, uvunaji na kila kitu 100k....afu unaambiwa debe 40k 😁😁inafika mahali unaamka usiku unatukana kila mtumwaka jana mbona tu apo, ilikua hio bei,sasa si unajua wabongo walivoona ivo woooote wakalima mahindi,,so yamekua mengi bei ndogo
Mshenzi wewe na kapuku mwenzako mlisababisha namimi niliwe bloku kule for no reason.. i haaaaate you moronSina privilege brother kule mode wamenipiga bloku
Kidole kipi? Ushaichanganya akili yangu tayari 🤦Tupia hata kidole au hauna 😏
Done rafiki yangu mpendwa 😁🤣Vincenzo Jr naomba urudshe avatar yetu tafadhal unanikonfyuzi
Nimesema yaishe 😂😂😂😂Hata ningekuwa Mimi nisinge sambaza 😁🤣
Unashushia kinywaji gani hapo dada ?🤣
😁🤣😎Nimesema yaishe 😂😂😂😂
Vin ntakuchapa
Hahahaha 😂,, kufata mkumbo sometimes bwan,,m nyumbani apa hata bustani sina vile sipendi ukulimaNdo ufala wa kutegemea shamba, mwaka huu gunia 40000.....hapo ukipiga hesabu ekari Moja trekta inalima kwa 45000, mbegu kwa ekari mifuko minne ni 72000, vijana wa kazi 50000, palizi Moja & mbili 50000, uvunaji na kila kitu 100k....afu unaambiwa debe 40k 😁😁inafika mahali unaamka usiku unatukana kila mtu
Na wewe ukaamini?? Usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Utasubiri sana kuona papa langu, vuta kiti ukae 🤣🤣🤣🤣umeandka kwa uchungu wii,,sema mwenye pcha zako npo nae PM kasema anatuma humu no mara waaaaah.
Babuu kama babu ndiyo maana yalikuja mambo ya Asali... Muwe na jumapili njema. Yenye amani na utulivu. Kuchat na picha... ✌️View attachment 3023790
Najua Kuna watu watabisha hapa kwamba hii picha sio ya Mwaka 47 🤗
Hello Sunday 🥂
Nasubiri ujitungie story na wewe😅Nishakuwa ex tena kwa mara ya pili nimelia sana 😭😭😭😭
Vipi wewe uko huna pdf langu? 🤣🤣🤣🤣
asante sana,,😂yani hii inakupendeza hatakama sikufahamDone rafiki yangu mpendwa 😁🤣
Inabidi tukate rufaa kule mwayaaaMshenzi wewe na kapuku mwenzako mlisababisha namimi niliwe bloku kule for no reason.. i haaaaate you moron
Asante sana 😎😎😍asante sana,,😂yani hii inakupendeza hatakama sikufaham