Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

vizuri sana. Mimi nipo on and off haipiti week sipo humu. ni vile wakati mwingine nasoma tu sipost chochote.
Kuna uzi ule wa Abdul nilikuuliza ufunguke ukanikimbia 😂 usifanye hivo bwana mtoto mzuri
Ooh vizuri, ningefunguka zaidi Sameer angenijua. Sikutaka iwe hivyo, ila kuna mtu aliniquote akaelezea pia.
 
Hapo kwenye Nguniani na matakapera napumzika, lini sasa nkamu nifate??
Ulete nimpikie shemeji yako hazijui kwao wamezoea milungi na mijani
Nakuletea Nkamu wiki inayoanza j3
Umuwekee na kipome😂😂😂
 
Nakuletea Nkamu wiki inayoanza j3
Umuwekee na kipome😂😂😂
Kipome muhimu ntaungia nini sasa?? Na cake nataka uniandalie.
😂😂😂😂 ila nkamu unayaweza, sema basi nakuelewa sana
 
Back
Top Bottom