100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,737
- 30,485
Kina nani? elezea vyema watu wote humu waelewe...Wewe nawe tulia, wenzio wako wapi?
Kina nani? elezea vyema watu wote humu waelewe...Wewe nawe tulia, wenzio wako wapi?
Sasa mm ndio nilitohoa hilo neno ugomviHunizidi mimi, si mpk kuna muda ulikuwa unanikataza unakumbuka?
Poa, uwe na usiku mzuri wengine waumwe na mbu tu tubaki wawili hapa jamvini.Ooh vizuri, ningefunguka zaidi Sameer angenijua. Sikutaka iwe hivyo, ila kuna mtu aliniquote akaelezea pia.
Ahasante, usiku mwema pia.Poa, uwe na usiku mzuri wengine waumwe na mbu tu tubaki wawili hapa jamvini.
🤣🤣🤣🤣Sasa mm ndio nilitohoa hilo neno ugomvi
Usisahau kunitumia sasaNipumzishe akili sasa
Kuna cake nimepika juzi ilikuwa tamu jamaniKipome muhimu ntaungia nini sasa?? Na cake nataka uniandalie.
😂😂😂😂 ila nkamu unayaweza, sema basi nakuelewa sana
Soon nakutumiaView attachment 3023362Beibe Aaliyyah nipe location
Wataje wewe kwani huwajui?

mnataka kuniingiza kwenye ugomvi tenaaa? AaaahNilikuwa nimeweka simu chajiNani anayekuteka.
Mpaka vidali una vikosa hivi hivi
We ni mtu mmoja una ID mbili, kwa sababu kuna siku hio ID ya kantry ilituma picha yako ya ku download, halafu hii ID yako ilikuwa inajulikana kwa picha za ku download huku unaziba sura. Huyo jamaa yako siku hio alituma picha kwa niaba yako akaifuta haraka, ile picha ilikua ni ya mlimbwende flani, we uli confirm kwamba ni wewe, hali ya kuwa hio picha niliiona online na source yake.Wewe nawe tulia, wenzio wako wapi?
We ni mtu mmoja una ID mbili, kwa sababu kuna siku hio ID ya kantry ilituma picha yako ya ku download, halafu hii ID yako ilikuwa inajulikana kwa picha za ku download huku unaziba sura. Huyo jamaa yako siku hio alituma picha kwa niaba yako akaifuta haraka, ile picha ilikua ni ya mlimbwende flani, we uli confirm kwamba ni wewe, hali ya kuwa hio picha niliiona online na source yake.
Sasa nikawa najiluliza kama jamaa yako anakufahamu kwanini atume picha ambayo si yako na ni ya kudownload..
Anataka atuaminishe we ni mzuri sana?
Anataka kutuaminisha anatembea na mtoto mzuri?
Na kwanini afanye hivyo? je mlipanga mfanye hivyo? mkiwa na dhumuni lipi?
Au ku pretend maisha ambayo si level uliyofikia? tukuone upo juu?
Nilijiuliza maswali mengi sana na ikafika muda nikatafakari nikaona ni ujinga mtu na mpenzi wako mnakosa kazi za kufanya na kuanza ku post picha ambazo si halisi kutu fool hapa, mpaka hapo nikawa na mawili kichwani either nimtu mmoja mwenye ID mbili, ama ni mtu na mpenzi wake ambao wote wamekutana ni madiishi yameyumba.
Mnasumbuliwa na escapism, una esccape from reality, maisha yako ni magumu au you are going through a tough time so una log jf na una pretend to be someone else for a while... Fake life...
You want us to see your life is like.. and not what it actually is like.
Kama ni couple basi huna uzuri wowote una sura yako personal, au ni mtu mmoja una umekosa cha kufanya unapoteza muda wako wa thamani kufanya ujinga...
Mi nakuoiga spana za kweli kweli.. na huyo bwana ako sijui ni ID yako ya pili...
Kama ni couple ya kweli oaneni nyie wote madishi, mkipata mtoto atakuwa dishi lile kubwa kabisa..

kwa heka heka hujambooo na unaitakaa sanaa.Hapo kwenye majina sasa 😂😂😂Kuna cake nimepika juzi ilikuwa tamu jamani
Nawaletea
Tena naandika majina yenu mawili 😂😂
Shetani apite mbali aisee
Imagine,maadui zako Muda huu watakuwa wanachekelea sana.
😂😂😂😂 Ataje wenzie kidampa huyomnataka kuniingiza kwenye ugomvi tenaaa? Aaaah
Umeongea pumba tupu, mgazeti mkubwa halafu hauna point za msingi??We ni mtu mmoja una ID mbili, kwa sababu kuna siku hio ID ya kantry ilituma picha yako ya ku download, halafu hii ID yako ilikuwa inajulikana kwa picha za ku download huku unaziba sura. Huyo jamaa yako siku hio alituma picha kwa niaba yako akaifuta haraka, ile picha ilikua ni ya mlimbwende flani, we uli confirm kwamba ni wewe, hali ya kuwa hio picha niliiona online na source yake.
Sasa nikawa najiluliza kama jamaa yako anakufahamu kwanini atume picha ambayo si yako na ni ya kudownload..
Anataka atuaminishe we ni mzuri sana?
Anataka kutuaminisha anatembea na mtoto mzuri?
Na kwanini afanye hivyo? je mlipanga mfanye hivyo? mkiwa na dhumuni lipi?
Au ku pretend maisha ambayo si level uliyofikia? tukuone upo juu?
Nilijiuliza maswali mengi sana na ikafika muda nikatafakari nikaona ni ujinga mtu na mpenzi wako mnakosa kazi za kufanya na kuanza ku post picha ambazo si halisi kutu fool hapa, mpaka hapo nikawa na mawili kichwani either nimtu mmoja mwenye ID mbili, ama ni mtu na mpenzi wake ambao wote wamekutana ni madiishi yameyumba.
Mnasumbuliwa na escapism, una esccape from reality, maisha yako ni magumu au you are going through a tough time so una log jf na una pretend to be someone else for a while... Fake life...
You want us to see your life is like.. and not what it actually is like.
Kama ni couple basi huna uzuri wowote una sura yako personal, au ni mtu mmoja una umekosa cha kufanya unapoteza muda wako wa thamani kufanya ujinga...
Mi nakuoiga spana za kweli kweli.. na huyo bwana ako sijui ni ID yako ya pili...
Kama ni couple ya kweli oaneni nyie wote madishi, mkipata mtoto atakuwa dishi lile kubwa kabisa..
Mzabzab yukwapi achukue jikokwa heka heka hujambooo na unaitakaa sanaa.
We ni mbaya ndio maana unatutumia picha za ku download...Umeongea pumba tupu, mgazeti mkubwa halafu hauna point za msingi??
Ni muda muafaka uolewe utulie, wenzio wanapepelea ndoa saa hizi. Wewe unazagaa na kurandaranda. Wewe upo humu kufatilia maisha ya watu kuliko yako, kwanza umeoga?