Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakua kuni za kuchomea wenye dhambi, hapa nafukutwaa kuwachachua vidampa wa mwendokasi waliokimbia had I'd zao.

Jamaniiiiii coca ni mmokooo tyuuu!!! Nyie hamuogopiiiiiiiii?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na tunawapatia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila mimi naokoka nimesikia sauti ya Bwana inaniita “Lamomy acha kila kitu selfika nifuate”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wokovuu njemaaa uduguuu!!! Wee huyu uokokeee?
Ukiona njegekaa mbio mbio selfikaaaa, huweziiiiiiiii
 
Wape wape wakimeza, wakitema hiyo shauri yao 🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wokovuu njemaaa uduguuu!!! Wee huyu uokokeee?
Ukiona njegekaa mbio mbio selfikaaaa, huweziiiiiiiii
Kweli naokoka uduguu, kuna vitu nimeviona. Nikajua huyu Mungu 😔😔
 
Hii ndio miezi Njombe maji tunakutana nayo kwenye chai au supu 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…