Wee huyo dr mbona ana balaa uduguu.!! Anataka njegeka la kidampa atawezana nalo kweli?? Au anataka kutelekeza familia
Jiachie uduguu wangu weeeh.!! Ba tamu mwambie akae kwa kautulia kwanza
Hahaha.........huyo ukifanya mchezo atakuua 😅😂😂😂😂
Hivi kuna dawa za kupunguza nguvu za kike??
Kuna MTU inabidi apewe
😂😂😂😂 Aliweka yenyewe bana, sema leo aweke namba za simu.Huyu ndio yule jamaa aliweka email ya mchongo 🤣😂😁
Oyooooo.!!! Say it loudddddd uduguu huku nyuma hawajasikia.!! 🤸♀️🤸♀️🤸♀️ Raha ya nini??tena kidampaa mcharukooo? Mie nikiweka vyeti pembenii, nabakiwa na heka heka za kushatooo.
Raha ya kusoma unagombaniwa na wasomi na wenye status zao.
Wee huogopiiiii?
Huyuu ba tamu, bado sija muamuliaa mbona hata amini, wee muache tyuu.
😂🤣😁😁😁😁😁 Kijana muhuni huyo kama anko maba😂😂😂😂 Aliweka yenyewe bana, sema leo aweke namba za simu.
Matamanio yake makubwa kufika piem kwangu, sasa mimi na Wapare hapana nimefunga ukurasa nao.!!
Babu nchi ishauzwa amani itoke wapi?? 😂😂😂You are always don't want peace Mjukuu 🙌
Hivi huna huruma na Wazee?
Anko maba kapotea jamani, yuko wapi?? Hebu muite aje hapa 😂😂😂😂🤣😁😁😁😁😁 Kijana muhuni huyo kama anko maba
Rahaa ya kukalia dawatiiiiiiii!!! Nyie kidampa anazama COETOyooooo.!!! Say it loudddddd uduguu huku nyuma hawajasikia.!!Raha ya nini??
Mwambie ba tamu engineer unagombaniwa na KAZI UNAIWEZAAAAA
Mbona pambeeee tyuuuu.!!
KIDAMPA umeweza, 🙌 umeweza 🙌 umeweza treenaaaaaahh. 🙌🙌🙌🙌🙌Rahaa ya kukalia dawatiiiiiiii!!! Nyie kidampa anazama COET
Watu wanashangaaa tyuuu, kidampaa anavaa joho afu bila sup wala carry? Nyie hamuogopiiiiiii???
ba tamu mwenyewee anaona faharii kumilikiii chomboo kilichopiga PCM.
wapiiii tanter, wapiii Chand, wapi mechanics, hujagusa projectile motion.
Muacheniiii atambeeeeeee!!!!
KIDAMPA umeweza,umewezaumeweza treenaaaaaahh.
Wakuache utambe Joho umevaa na umetamba nalo, anayekataa ANYE BOGA
Na wakuachee humu jf kwa raha zakoooo.!! Na zile dreads km za Noel kaweekee uduguu wapasuke vizuri
Naskia anatembeza vijiko Cc Hope urassaAnko maba kapotea jamani, yuko wapi?? Hebu muite aje hapa 😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 Boss kubwa la kampuni lilikutambulisha likaacha hao wanaojiita pisi kali, wao hawaogopi???!!mtaani utasikia "usimuonee hivyoo amesoma huyoo"
Bas kidampaaaa kichwa hikooo, vijana uchwaraa wanaanzajee kumsogeleaa? Classmates wake wanamuendea kwa nywilaaa na adabu.
Wasomii na mabosss tyuu ndo wanao mfata, afu nyota anayoo, kidampa kuwekwa wazi kwa umma, kuwa yuko na boss kubwa, nyie hamuogopiii tyuuu?
Sasa anaachaje kutrambaaaaa na kujikubaliiiiii? Amefanya ambavyo straight uchwaraaa wameshindwaaaa, nyiee hamuogopiiiii.
uduguuu nimelewaa kabla ya kunywaa.
Weeeh!! Akija hapa akikupelekea moto usikimbilie kwa mods, mana humu ukitaka ugomvi kujiliza kwa modes hatutaki, tunapigana bila kung’ata wala kulia 😂😂😂😂Naskia anatembeza vijiko Cc Hope urassa
Boss kubwa la kampuni lilikutambulisha likaacha hao wanaojiita pisi kali, wao hawaogopi???!!
Uduguu ulijua kumkamata boss kila uzi “wife wangu coca” basi nyakunyaku wananuna mashavu km andazi la kiyahudi
Umejua kupambana uduguu ile ligi sio mchezo huku nyakunyaku, huku vidampa wa mwendokasi…… uduguuu una nyotraaa kali buana.!!
Na kuwakomesha mrudishe kwa kasi ya 5G wapasuke na panya waliojificha mapangoni wote watoke, na atakayeinua kichwa tunakiponda wee huogopi..!! Ww ndo ndimu mkata shombo, kabali yao.!! Weeeeeh jamaaaaah Naona raha miyeeee
Aje in alikiba voiceWeeeh!! Akija hapa akikupelekea moto usikimbilie kwa mods, mana humu ukitaka ugomvi kujiliza kwa modes hatutaki, tunapigana bila kung’ata wala kulia 😂😂😂😂
Mimi nipo hapa ngoja aje, hili pambano lenu refa mwenyewe akifika. 😂😂😂
👌👌👌👌 Treeeenahhh.!!!jamaniiiiii watu weuweeeeeee!!!! Wanamfata PM kumpa vijimaneno, bas anakuja tsup ananionesha vyoteee.
Na mie namjibu achana nao hao, wee nisikilize mie, bas yeye anajibu fresh, namuambia bas babee nipoozee kidogo.
Anatuma muamalaaa,nyieee nimefauduuuu.
Popote ulipoo boss kubwaa, ubarikiwe sanaaaa, huna bayaaa afu nimekumic balaaa, njooo nikuimbiee tenaaaa.
Woyoooooooooooh!!! Nimewezaaaa afu nimewezaaaa treeenaaaaa!!!!
Huku sio sehemu ya kupigana ni kutoa hoja tu 😂😁 Cc Hope urassaWeeeh!! Akija hapa akikupelekea moto usikimbilie kwa mods, mana humu ukitaka ugomvi kujiliza kwa modes hatutaki, tunapigana bila kung’ata wala kulia 😂😂😂😂
Mimi nipo hapa ngoja aje, hili pambano lenu refa mwenyewe akifika. 😂😂😂
Mbona kinyonge 😂😂😂Aje in alikiba voice
Huku kunajulikana piga nikupige hakuna kung’ata 😂😂😂Huku sio sehemu ya kupigana ni kutoa hoja tu 😂😁 Cc Hope urassa
Mkuu Kama kuna dawa naomba maelekezo. Maaana Hali si Hali, zamani mlikuwa mnafanyaje??Hahaha.........huyo ukifanya mchezo atakuua 😅
Ndiyo maana Wazee hatujihusishi na hayo mambo 🙌