Mwenyeji muambie Davoo aendeshe taratibuu, bado tunakuhitajiii.
Babu nimerudi nakuja kijijini huko ngoja nitafute kikoNimefanyaje Mjukuu π€?
Hivi ile safari umesharudi? Nasubiri uje unisalimie Kijijini π
Nitumie hata buku nikanywe hata fanda moja hapo kwa mangi πWakaka wa JF mjitokezeee, nimepokea hela ya mchezo jana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020589
KuNi kosa la kiufundi kabisaa, na inabidi arudishwe jandoni kusukwa upyaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3020586
We nae unaachajwe kizembe Zambezi kwani kungwi hajakupa mbinuπππππ Atufundishe kwakweli, nimelia sana
Baadae baadae dear [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Nitumie hata buku nikanywe hata fanda moja hapo kwa mangi [emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa hall V, sasa hata ukimuuliza km hajafika ni hajafika, tena atakushusha vyeo vyotee. Bora ukaushee tyuu.Lazima tuwaulize ili tujue maaana wadada wasikuhizi wagumu saana kufika mlimani.
Ku
Hahaha, Bora tuamue kushinda mechi zetu tuu. Unapiga unachojoa baaasi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa hall V, sasa hata ukimuuliza km hajafika ni hajafika, tena atakushusha vyeo vyotee. Bora ukaushee tyuu.
Hongera kurudi salama Mjukuu, hata hivyo tushukuru zile dawa zetu za asili kufanya kazi ,maana bila hivyo ulikuwa unahamia huko huko Dubai, yaani unakaa Dubai miaka 10 yote bila kuja kutusalimia Wazee wako πBabu nimerudi nakuja kijijini huko ngoja nitafute kiko
We Mjukuu acha kunigombanisha na Bibi yako, hivi na hili baridi Bibi yenu akikasirika na kuhama Kitanda si litaniua Babu yenu πBabu nasemaje kina bibi kazi wanayo eβm usizuge hapa πππ
Hahaha.......poleni Mkuu, bora wengine tumezeeka tu π πHahaha, Bora tuamue kushinda mechi zetu tuu. Unapiga unachojoa baaasi...
Hawa wadada wanaodaiwa na kaushadamu mara vicoba mara mchezo hahaha
π π ππ€£π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbonaa hatariii sanaa!! Bora umalize zako tendo upite kulee.Hahaha, Bora tuamue kushinda mechi zetu tuu. Unapiga unachojoa baaasi...
Hawa wadada wanaodaiwa na kaushadamu mara vicoba mara mchezo hahaha