sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Nailipia wapi? Nataka niione picha mkweMkwe njoo taratibu
Nailipia wapi? Nataka niione picha mkweMkwe njoo taratibu
kwamba namimi natisha sio😂😂😂😂 ndio vizuri mtishane
Jana nilijitolea kuwa mpishi, nikabanwa ila ilikuwa nije kabisa. Tuombe uzima, ijayo naja...Eid iliisha salama, salmini ni vile mwaliko uliupokea.... Ikawaje?
Kwenye namba ileileNailipia wapi? Nataka niione picha mkwe
Sogea hapo Mpesa Kwa mangi, chaaap natuma mzigoKwenye namba ileile
Nakuaminia bossSogea hapo Mpesa Kwa mangi, chaaap natuma mzigo
Unipe nafasi nikuoneshe namna ya kucheza kingalelo 💣💣Mc nipo hapa na burudani ni kunywa na kula nyama choma kwa kwenda mbele, huku tunapata burudani kutoka kwa weusi 😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Jina la wakala Ninani??Nakuaminia boss
Mi ntajuaje na we ndo umesema mtatishana na maisha yako 😂😂😂kwamba namimi natisha sio😂
Inaitwa chugga danceUnipe nafasi nikuoneshe namna ya kucheza kingalelo 💣💣
umesoma vizur au umekurupuka tu kama kojo la asubuh 😂😂Mi ntajuaje na we ndo umesema mtatishana na maisha yako 😂😂😂
Hapo ni ww na maisha yako mshaanza kutishana?? Mmeanza na mikojo sasa mnakondea mtapup 🤣🤣🤣🤣umesoma vizur au umekurupuka tu kama kojo la asubuh 😂😂
unadegedege la macho wewe,, nmesema maisha yatanitisha sjasema tutatishana🤣🤣🤣Hapo ni ww na maisha yako mshaanza kutishana?? Mmeanza na mikojo sasa mnakondea mtapup 🤣🤣🤣🤣
Sasa km maisha yako yanatisha unafikiri mwenyewe utakuwaje? 😂😂😂unadegedege la macho wewe,, nmesema maisha yatanitisha sjasema tutatishana🤣🤣🤣
😂😂😂😂 Woooiii muuza vijora weweSasa km maisha yako yanatisha unafikiri mwenyewe utakuwaje? 😂😂😂
Ndege wawili wanaofanana huruka pamoja
Nipo muuza vijora na kati ya migomigo na vingunguti 😂😂😂😂😂😂😂 Woooiii muuza vijora wewe