Jana tumelewa sana pombe tukachoma na mbuzi kula sana nyama. Cha ajabu tumeamka Leo asubuhi tumekuta yule mbuzi yupo hai ila mbwa Hamna, sijui kapotelea wapi View attachment 1280922
kama wewe ndiyo uko namba moja kati ya wasiomuamini basi mimi nipo pale kwenye kichwa cha habari kinachosomeka hivi: Wasiomuamini Atoto tukianza na Karma.. halafu list ndiyo inaanza sasa
Mimi siyo mjanja mjanja bhana wewe mwenyewe unajua hilo