Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona umeachwa ghafla hivyo Mjukuu [emoji12]?

Mwambie Mkwe ili akuache aitishe watu wote tuliohudhuria harusi yenu ndiyo akuache. Hivi hivi tunajua bado upo naye [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mjep njoo ujibu hapaa
 
raraa reree fanya chap[emoji1732][emoji23]
Wee ephen_ leo umetaka watu tuchekee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili si pipa au simtank la 5000litres.

Wee hauko serious nshajua, khaaaah. Mbavu zinauma kwa kuchekaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi unaanzaje kumwambia mwenzako ni simtank?
Unadhani najisikiaje baada ya kusoma huu ujumbe wako? Nikijinyonga je?
 
Huyu amesema ukweli yupo kama wale sumo tena hapo kawahurumia sana ,namjua vizuri mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…