Selfika na JF: Snap it. Show it

following...πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…
Wazee wenzetu akina Ben Mkapa, Mzee Mwinyi waliandika historia ya maisha yao kwenye Vitabu, sisi wengine ndiyo tunawasimulia nyie Wajukuu ili mtusaidie kutuandikia.

Babu yenu nimekula chumvi nyingi mjue 😜
 
🀣🀣
 
We nawe kichwa kizito unakosea masharti🀣
 
Hahaha..........ila nashukuru Wazee kunikatalia kumuoa yule Binti, vinginevyo Kwa ule utundu wake ningeuza assets zote za familia kwaajili yakeπŸ€—πŸ™Œ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ babuuu mkali wa hizi kazi!! Yani babu unawapatia wajukuu zako humu jf. Huna bayaaa
Nikizaa mtoto wa kiume nataka akiwa mkubwa awe km wewe 🀣🀣
 
We nawe kichwa kizito unakosea masharti🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Itakuwa kichwa cha kaka ako ndo kigumu, mbona mi nimefanya km ulivyosema?? Nimegundua ndugu wa mume hamnipendi 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…