Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™‚
hawezi kukutunza achana nae ngoja tuangalie ustasrabu mwingine
Nikupe faini kwa kukataa ushauri wangu dadaako niliyewahi kuliona jua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uwe unanisikiliza nikikwambia ohhh!!
 
Hela ya yenyewe hukutuma na ya kutolea🀣🀣🀣

Hivi Karne hii mtu unaachika kweli? Huyo mkamilifu unaenda kumpata wapi??? ni mwendo wa kung'ang'aniaa🀣🀣🀣

Mie nipo huku na huku, udugu nautaka, Wifi nampenda....nyie Mie naogopaaa???🀣🀣🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wape pole wanafungwaje nyumbani?? Ugenini si ndo watatuaibisha??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu kwan afu mbna sielewiii, niko buzzy sana na Ba tamu,
Kaniambia huu muda wangu wa ku enjoy, mateso bas na nisahau, niko ktk mikono sahihi.

Em ninong'onezee kuna niajeee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natumaje na ya kutolea wakati nyago la uongo!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kila nikifanya ulichonifundisha kaka yako anakasirika, yan namtibua kabisaa.!! Mpk nikawaza au ndugu wa mume hawanipendi wameamua kunipa tips za kumkwaza mume?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wifi sitoki hata walete greda, mwanaume malaika hayupo, kwanza bora shetani unayemjua, kuliko malaika usiyemjua..!! Upo hapo? πŸ‘Œ
Ww ng’ang’ana hakuna kutoka mtu.!! Nasemaje Nasemaje kaka yako siwaachii πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…