Kwanini mnataka kuniingiza kwenye ugomvi kinguvu? Mie sitakii, km kugombana gombaneni kivyenu, sihitaji kabisa manjegekaa sahivi.Aliyesema mpo kundi moja ni huyo mwenzako cocastic, wala sio mm
Hapo ndio uone maneno sio issue, ww huna maneno lakini cocastic kakutaja mpo pamoja toka zamani
Pole kidampa bado utateseka sana, jitahidi uolewe uache makasirikoPc yangu ipo automated, picha yeyote ikiwa hapa kama ina chanzo naona, huna uzuri wowote...
tenaunakuta we ni mwanaume
Kuliko wewe...Unaona sasa umeanza kuchanganyikiwa
Dogo naona kukukumbusha ulivyokuaga huko nyuma umeumia sana, unaanza kuattack uliokua unawasifiaHalafu usikute hii ni ID moja kwa maana hizi couple za ja ni noma unakuta unajiuliza na kujijibu mwenyewe, toka nilipoona unatuma picha za ku downoad nikajua tu hapa kazi ipo, halafu kuna picha nnayo sijui niweke hapa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini unahamisha ugomvi wenu na kuleta kwangu?Dogo umeanza kuchanganyikiwa, cocastic ndio kakutaja mpo pamoja toka zamani na akasema anawajua mpo watatu, narudia kukuambia hayo sio maneno yangu ni yake
Hii kujikaza haikusaidii kitu ikiwa tayari huko nyuma ulishaharibu
πππ hapo umemvua vyeo kaka yangu. Yule mkinga hawezi kukosa pesa banaN
Kakaako hajaninunulia abaya nimegoma kupika ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan imebidi nichekee tyuu, woiiiiiihKwa maelezo ya cocastic ugomvi wenu ww na wenzako humj watatu ilikua ni kumuonea wivu, hiko ndio amesema. Na amesema mlijipanga kumuondoa huku jf mbaki nyie watatu
Mm sio mjanja sana na pia sio mshamba Sana, kuhusu mm kujibizana na ex hiyo nimekueleza huko. Sasa ww ambae umekuwa revealed na coca Kama huko zamani mlikua chama kimoja umegoma kubadili I'd tafsiri yake nn? Si ili uanze kutongozwa
Usimtee mwambie atoe Hela nipike ππππ hapo umemvua vyeo kaka yangu. Yule mkinga hawezi kukosa pesa bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa muongo khaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo pesa anazo mbwa haruki na Valentineβs Day alinipa bonge la zawadi. Sema ni vile shetani hapendi kuona wawili wakipendana
Sio shida zetu uduguu uzi bila sie haunogi huu ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ana wivu mbaya mana hampi nafasi coca apumue π€£π€£π€£π€£Hayo ni maelezo ya coca, mpo wengi humu Ila nyie watatu ndio mlikua mnaona wivu
Nilijua lazima utapoteana, ulianza kama mshauri mara kutongoza wakati upo group la walioleft, sasa hivi unaanza tena kushambulia uliokuwa unawasifia mwanzoSi umuulize huyo coca yupo hapa... Bro una fail..
We na couple yako hapa ni kitukona picha zenu za kudainilodi... najua ina ku hit so hard lakini hamna namna π π π π π
ππKuna Uzi wa 2012 anatafuta jimama Tanga nikasema huu Uzi sio Babu kweli huu enzi zake maana sahiz Kawa mzee wa ovyo π€£π€£π€£Umeona eeh Mjukuu, Wazee tunapenda yale mapishi mengine kuliko hayo mapishi yenu ya Chapati π€
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi nyie kwani lazima mie nihusike kwenye kila ugomvii? Em mniachee bhanaa.Kazi unayo kumbe huwa unasave picha zinazotumwa za watu?!! Haya unazifanyia Kazi gani?? Kumbe ww kidampa km coca alivyosema?!! Pole sana kumbe picha zinakutesa kiasi hicho??
πππππ unakosaje kwa mfanoShem mbona unaniingiza kwenye ugomvi nisio husika nao? Kwani lazima mnihusishee na mie? Em niacheni bhanaaa. Khaaaah
Kuna siku moja hapa unajitia kum post manzi ako, eehhh, si ukatuma picha ya kudownload, nikaipimia halafu nikminya reli, silent, nimgetaka kukuaibisha hapa ingekuwa mtafutano....Dogo naona kukukumbusha ulivyokuaga huko nyuma umeumia sana, unaanza kuattack uliokua unawasifia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] paruaneni huko, ila mie msinihusishee.Unazingua uduguu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani atunze msg zako pm? Ukishakua vile tu ulivyo huwa unapuuzwa rasmiLeta screenshot hata za PM hapa muombe huyo shoga ako coca...
Mi nawamudu bado nataka mfike 10 ndipo mtanitosha...
ππππWee nae em acha kunitaja taja, mxxxiiiiieeeeew