Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,193
- 33,580
Anayecheka hiyo ni kazi kwake, wala hakuna impact yoyote kwetu in real life na hiyo ndio tafsiri ya fake ID. Jf sio jimbo kwamba kesho tutakuja kuomba kuraNdio ujue maadui ni wengi na unafiki ni wa kutosha
Mnachokifanya hapa kinaonekana na watu wengi kuliko mnavyodhani,watu wanaitana kimya kimya na wanachekelea kinachoendelea....kiufupi mmekuwa kituko
Lakini labda inawezekana msione tabu kwasababu hatuwafahamu
Mnisamehe tu kwa kuandika niliyoandika leo,naishia hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣 Oyooooooo.!!Anayecheka hiyo ni kazi kwake, wala hakuna impact yoyote kwetu in real life na hiyo ndio tafsiri ya fake ID. Jf sio jimbo kwamba kesho tutakuja kuomba kura
Coca jiheshimu wewe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aliyesema mpo kundi moja ni huyo mwenzako cocastic, wala sio mmWe na cocastic si kundi moja.. mwanaume una maneno kama Mange..
Wifi hunanipa mwaliko uchoyo huo?Njoo bas best
Dogo umeanza kuchanganyikiwa, cocastic ndio kakutaja mpo pamoja toka zamani na akasema anawajua mpo watatu, narudia kukuambia hayo sio maneno yangu ni yakeSasa kati yako na mimi nani anaonekana yupo chama kimoja na huyo coca, mwanaume una maneno kama manzi...
watu wanakuona chenga tu...
Stvpid kabisa... we ni mjinga...
We nshakuambia ni chocolate bro, huyo coca nani hafahamu ugomvi wangu na yeye kuhusiana na issue yake kuwa showga, ila boy umezingua sana, halafu we ni mshamba tu, so ulikua unaona kujibizana hapa na ex wako ni ujanja, huna akili, stvpid tu, tena badili ID..Aliyesema mpo kundi moja ni huyo mwenzako cocastic, wala sio mm
Hapo ndio uone maneno sio issue, ww huna maneno lakini cocastic kakutaja mpo pamoja toka zamani
Njoo bas best
Kwa maelezo ya cocastic ugomvi wenu ww na wenzako humj watatu ilikua ni kumuonea wivu, hiko ndio amesema. Na amesema mlijipanga kumuondoa huku jf mbaki nyie watatuWe nshakuambia ni chocolate bro, huyo coca nani hafahamu ugomvi wangu na yeye kuhusiana na issue yake kuwa showga, ila boy umezingua sana, halafu we ni mshamba tu, so ulikua unaona kujibizana hapa na ex wako ni ujanja, huna akili, stvpid tu, tena badili ID..
Siongei na showga...Dogo umeanza kuchanganyikiwa, cocastic ndio kakutaja mpo pamoja toka zamani na akasema anawajua mpo watatu, narudia kukuambia hayo sio maneno yangu ni yake
Hii kujikaza haikusaidii kitu ikiwa tayari huko nyuma ulishaharibu
Yani mchuchu unavizia pilau la idd kweli? Nimelia sana 😭Shukrani sana
Nipo mbali kiasi nimelikosa la leo nimeumia sio kidogo
Nimeumia sana ujue.
Naona umeanza kuchanganyikiwa baada ya kukukumbusha ulivyokua zamani, alafu usimuwekee maneno mdomoni hawezi kusema mm mchafu Wala kuhusu maisha sababu anajua ukweliSiongei na showga...
Manzi yao mwenyewe anakiri hapa we ni mchafu na maisha yamekupiga kinoma..
stvpid kabisa...
Ngoja huyo coca aje...
Mi mwanaume sio kama wewe showga..
Acha kufurahisha genge...Kwa maelezo ya cocastic ugomvi wenu ww na wenzako humj watatu ilikua ni kumuonea wivu, hiko ndio amesema. Na amesema mlijipanga kumuondoa huku jf mbaki nyie watatu
Mm sio mjanja sana na pia sio mshamba Sana, kuhusu mm kujibizana na ex hiyo nimekueleza huko. Sasa ww ambae umekuwa revealed na coca Kama huko zamani mlikua chama kimoja umegoma kubadili I'd tafsiri yake nn? Si ili uanze kutongozwa
Wee hapo umenisingizia wapi nimesema yy mchafu na maisha yamempiga?? Nyie jibizaneni bila kuniingiza mimi kwenye uongo.Siongei na showga...
Manzi yao mwenyewe anakiri hapa we ni mchafu na maisha yamekupiga kinoma..
stvpid kabisa...
Ngoja huyo coca aje...
Mi mwanaume sio kama wewe showga..
Tulikuwa watatu what? mbona hizo story unatunga hueleweki, hebu elezea...Naona umeanza kuchanganyikiwa baada ya kukukumbusha ulivyokua zamani, alafu usimuwekee maneno mdomoni hawezi kusema mm mchafu Wala kuhusu maisha sababu anajua ukweli
Ww ni mwanaume sijakataa, Ila si ndio chama kimoja na coca Kama ambavyo amesema. Wenzio watatu ni kina nan?
Kwa hiyo mlitaka mbaki wenyewe? Na ilikuwaje mkaanza kumuonea wivu? Na kipi kilifanya nhie watatu mshindwe kwa mtu mmoja? Hamvutii?
Thanks Kwa mwaliko Mjukuu, Wacha nipige pass Kanzu yangu tayari Kwa safari 🤗Babu karibu bonyokwa ndio tunatoka kuswali sala ya idd
Niachie kwanza huyo mmeo hana marinda, unamuonea huruma?Wee hapo umenisingizia wapi nimesema yy mchafu na maisha yamempiga?? Nyie jibizaneni bila kuniingiza mimi kwenye uongo.
Nilikuwa nakusahihisha hapo tuendelee
We jamaa muongo khaaa!! 😂😂😂Acha kufurahisha genge...
Manzi ako amekuacha cause una maisha magumu, bro usi force, tafuta pesa kwanza...
HahahaYani mchuchu unavizia pilau la idd kweli? Nimelia sana 😭