100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,791
- 30,985
Unazingua big time, kama huyo manzi ulikuwa nae kuna haja gani ya kuonyesha tofauti zenu hapa, si unakausha tu mzee, wanaume hatuna hayo mambo, mambo ya kujibizana ni issues za wanawake...Nazingua nn?
We na ex wako mnazingua..ππππ kwamba unatujua sana!!
Mimi sio husna bana, kwan kuna vitu tunamatch??Eid Mubarak
Mkwe ephen_ namuonea wivu mwanangu
Aaliyyah πππ
Ukhty Nuzulati Nzeze, Eid mubarak
Mzee wa kiko Grahams legend heshima yako mkuu, tupeane lokesheni tuje tupate nondo atleast..
Chinowana man Kapachino Naona umepotea potea au ndio mama la mamaaaa L kakuficha?? Au bado upo na Inni??
Ms R very soon inabidi kuna herufi r iongezeke hapo kwenye ms...
My brother ERoni Eid Mubarak brother, sikuoni Oni huku au ndio umehamia pm?? Hivi Yule mrembo alikuwa anaitwa husna muba huku yupo wapi?? Nimemmiss au ndio huyu Lamomy maana new id hizi unaweza rudia chaka la zaman..
BL nakupa mwaliko special karibu Eid, tumechinja hapa Kwa ajili yako.
Mkuu,unaharibu sasaUnazingua big time, kama huyo manzi ulikuwa nae kuna haja gani ya kuonyesha tofauti zenu hapa, si unakausha tu mzee, wanaume hatuna hayo mambo, mambo ya kujibizana ni issues za wanawake...
Unaonekana kama chenga..
Mbombo ngafuUmeandika uongo, Ila yameisha no more mjadala
Kinyama!We na ex wako mnazingua..
Eid Mubarak sheikh wangu ποΈUongo uongo
Mina li faidhina mzee wa hall vEid Mubarak
Mkwe ephen_ namuonea wivu mwanangu
Aaliyyah πππ
Ukhty Nuzulati Nzeze, Eid mubarak
Mzee wa kiko Grahams legend heshima yako mkuu, tupeane lokesheni tuje tupate nondo atleast..
Chinowana man Kapachino Naona umepotea potea au ndio mama la mamaaaa L kakuficha?? Au bado upo na Inni??
Ms R very soon inabidi kuna herufi r iongezeke hapo kwenye ms...
My brother ERoni Eid Mubarak brother, sikuoni Oni huku au ndio umehamia pm?? Hivi Yule mrembo alikuwa anaitwa husna muba huku yupo wapi?? Nimemmiss au ndio huyu Lamomy maana new id hizi unaweza rudia chaka la zaman..
BL nakupa mwaliko special karibu Eid, tumechinja hapa Kwa ajili yako.
πππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈUnazingua big time, kama huyo manzi ulikuwa nae kuna haja gani ya kuonyesha tofauti zenu hapa, si unakausha tu mzee, wanaume hatuna hayo mambo, mambo ya kujibizana ni issues za wanawake...
Unaonekana kama chenga..
ππππ Mi mbona sina tatizo shem, kwani kuna sehemu nimetoka nje ya mstari??We na ex wako mnazingua..
π€£π€£π€£Mkuu,unaharibu sasa
Nipo live na huu uzi kwa ajili yao....kimya kimya
Kwanini na wewe usiwe pamoja nao kimya kimya hadi watoane roho mkuu aaaaaah!! π€£
ππππ Kutoana roho tena??Mkuu,unaharibu sasa
Nipo live na huu uzi kwa ajili yao....kimya kimya
Kwanini na wewe usiwe pamoja nao kimya kimya hadi watoane roho mkuu aaaaaah!! π€£
Joha umeanza lini ushilawadu?? Mbona sijakuzoea huku?? π€£π€£π€£Kinyama!
Nawafuatilia ila kiukweli kabisa wanazingua...wanatufaidisha hata tusiohusika
Jambo linalonihusu huwa nalijibu, hiyo kukausha kwangu haipo ni utaratibu tu ambao nimeuwekaUnazingua big time, kama huyo manzi ulikuwa nae kuna haja gani ya kuonyesha tofauti zenu hapa, si unakausha tu mzee, wanaume hatuna hayo mambo, mambo ya kujibizana ni issues za wanawake...
Unaonekana kama chenga..
ππππ Kutoana roho tena??
No, nipo kwenye mode nyingine, am seriously very very seriously usiniite shem, we na jamaa wako mnazingua kinoma, you know? let's take it seriously..ππππ Mi mbona sina tatizo shem, kwani kuna sehemu nimetoka nje ya mstari??
Joha umeanza lini ushilawadu?? Mbona sijakuzoea huku?? π€£π€£π€£
Mnanionea bure kwa kweli.Ww ndio maana nakuambiaga hujielewi, na haya mapovu yako na maneno yako ya ajabu ndio yamefanya nikuone mtu wa hovyo sana
Two weeks back ulinitolea povu hivi hivi na maneno mengi kweli kuwa najuana na lovelove mara najuana na antonnia, Mara nashirikiana nao maadui zako kukuhujumu kila ujinga uliandika. Hapo ndio niliona ww ni chenga sana
Leo tena umekuja na yaleyale. Unajistukia sana. Nilikuambia hii tabia yako nitaukomesha maana ulikua unanigeuza jalala
Kumbe ushauri wote ulionipa ni ku-take advantage ya kuomba? Dogo nasikitika kukuambia huna akiliNo, nipo kwenye mode nyingine, am seriously very very seriously usiniite shem, we na jamaa wako mnazingua kinoma, you know? let's take it seriously..
ππππ kumekuchaJambo linalonihusu huwa nalijibu, hiyo kukausha kwangu haipo ni utaratibu tu ambao nimeuweka
Wanaume hatuna hayo mambo? Sawa, lakini kwanza mm naamini vipi kama ww ni mwanaume?
Naonekana chenga kwa nani? Kwako au kwa nani?