πππ Kwani hata namchokozaga basi!! Mwenyewe vikimpanda tyuu ananiibukia.!! Kuna comments akiziona lazima aje awashe moto π€£π€£π€£
Ss hivi nimechoka sitaki hata kuiona id yake, mwanaume gani hana kifua. Mambo ya ndani anatoa mliyojadili wawili peke yenu.!! Km sio ugombanishi ni nini?? Na mimi nikianza kutoa yake aliyoniambia si itakuwa balaa humu!!
Ss hivi anatokea πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Sijui shemejio na gang lake, wameanza vizuri katikati mshirika wake si kaanza kutoa mipango waliyopanga π€£π€£π€£π€£
Yani nimecheka, ikabidi wazuge kujifanya hawajuani etii.!! Mapenzi ya JF ππππ