Selfika na JF: Snap it. Show it

Aaliyyah
Shangazi nifundishe kupikaa, ona navyotaka kufurushwa ghaflaa hivii? Wee huogopiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaliyyah
Shangazi nifundishe kupikaa, ona navyotaka kufurushwa ghaflaa hivii? Wee huogopiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3019226
🀣🀣🀣Si walisema mwanamke Tako jamni
Hata usiogope kata vizuri kiuno hata upike dagaa wanaelea ataona km roast tu
πŸ˜‚πŸ˜‚Aunt Yako mapishi hayajanisaidia nimeachwa 🀣🀣
 
🀣🀣🀣Si walisema mwanamke Tako jamni
Hata usiogope kata vizuri kiuno hata upike dagaa wanaelea ataona km roast tu
πŸ˜‚πŸ˜‚Aunt Yako mapishi hayajanisaidia nimeachwa 🀣🀣
Sikujua kama mna mbinu hivi Mjukuu 😜 πŸ˜…
 
❀️😍Nzuri ukaribia ndugu
 
πŸ˜€πŸ˜‚Et mzee wa kale tuambie tujue kupika au kiuno huku nje mambo ni magumu🀣🀣🀣
Enzi zangu Mwaka 47 nilipenda zaidi kiuno kuliko mapishi

Hata ukipika mswepolezo nitaona umepika chakula cha KFC iwapo una kiuno kama Feni πŸƒπŸ™ˆ
 
Enzi zangu Mwaka 47 nilipenda zaidi kiuno kuliko mapishi

Hata ukipika mswepolezo nitaona umepika chakula cha KFC iwapo una kiuno kama Feni πŸƒπŸ™ˆ
cocastic umesikia mambo hayo wee pika tu fufua tu Hao dagaa auntyanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pika tu hizo chapat kaukau hata hawajali
 
cocastic umesikia mambo hayo wee pika tu fufua tu Hao dagaa auntyangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Pika tu hizo chapat kaukau hata hawajali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ba tamu mbona huwa anaipataa fresh, mie nikiamua kupika napika kweli, ila had nitakee.

Sio mtu anilazimishee, sahivi kazoea.

Nlipika bagia za mchongo, [emoji23][emoji23][emoji23] ule muuondo ba tamu akamwagaa, anasema "wee kichaa utakuja ufe vibaya afu kimasikhara"

Bagia zilikua km ubooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si walisema mwanamke Tako jamni
Hata usiogope kata vizuri kiuno hata upike dagaa wanaelea ataona km roast tu
[emoji23][emoji23]Aunt Yako mapishi hayajanisaidia nimeachwa [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii nimechekaa sanaa!! Msingi kiuno kwa bed eti eeeeh.
 
Bagia zilikuwa Kama nini??

🀣🀣🀣🀣
 
Ila uduguuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimewaza hiyo shape ya bagia nimeishia kucheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…