Kweli sie tulipofikia baba Jeni bye bye
Haina kugeuka nyuma, ila nyie ndio hamuaminiki.!! Ila nimecheka yani tunagombana watu wametulia tuli hawachangii.!! Mmoja kajitokeza kamuunga mkono mbele kamkataa
Kuna vitu vinachekesha sana, hii tabia sijaizoea selfika… hapa ilitakiwa wawe wanakazia na kuchochea