Selfika na JF: Snap it. Show it

ulanzi unakunywa mtogwa au ule mkangafu
m napenda mtogwa mtamu kama fanta pineapple
Togwaa upate ile kutumia mihogo, ndo tamuu km sodaa, ila kutumia mahindi na ulezi ni chunguu balaaa na inaleweshaa.
 
Kuna ulaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nyie bibi kanifundisha had kupika pombe za kienyejiii,

Natoa ubaga wa kwendaaa, pombe ikichujwaa, walevi wanalandukaaa tyuuu, inanogaa lyolyolyoo..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nipe recipe ya wanzuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…