Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 40,442
- 96,849
Toa wino mtakosa hewa 😹Sadakalawee atakaeona aoneee 😀
Wewe yupi hapo?
Toa wino mtakosa hewa 😹Sadakalawee atakaeona aoneee 😀
Hewa tunapataa 😂Toa wino mtakosa hewa 😹
Wewe yupi hapo?
Hebu rusha tena usiweke wino nione hewa ilipitia wapi 😹Hewa tunapataa 😂
Wa kushoto hyo mwingine young bro 😀
Kesho nitatuma upya nyingine 😂Hebu rusha tena usiweke wino nione hewa ilipitia wapi 😹
Linalowezekana leo lisingoje kesho..!!Kesho nitatuma upya nyingine 😂
Ndio maana watu wakadhani celeb wa west 😂🥰🥰🥰Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani 😹
Celeb wapi? Basi tu JF wanapenda kuona wote tumepauka na vumbi..!! 😹😹Ndio maana watu wakadhani celeb wa west 😂🥰🥰🥰
Igweeee mate, you look dope! 🥰
Hiyo ndio mida Yako ya kufunga hesabu😆😆Umeona mida hii ndo naingia tulikua tunagombania mwendokasi..!!
Nisikize mimi achana na huyo tapeli..
Nilikua busy, simu kama zote hakuna utulivu kabisa. Hapa naona simu zimepungua so ngoja nishushe list ya nguvu🔥Nishafika twende kazi..!! 🔥🔥
Uzuri humu tajiri anajulikanaWacha weeh..!!
Wenzetu mliojipata mnakula maisha mpaka siku za kazi hamna weekend..!!
Hii ni Mercedes C class ya mwaka wa mbele, tajiri umepoaaa tajiri umepoaaa🙌Sasa hivi nilishatoka huko niko na mjerumani 😹
Tajiri yetu sasa hivi ni mwendo wa Benz tu🙌Ndio maana watu wakadhani celeb wa west 😂🥰🥰🥰
Igweeee mate, you look dope! 🥰
Hii chuma umenichanganya asee, umevuta lini? Hii Metho utamruhusu kweli hata asogeze?😆😆Celeb wapi? Basi tu JF wanapenda kuona wote tumepauka na vumbi..!! 😹😹
Awwww mate, thanks 😘
Igweeeeeeeeee
Shusha, au kama vipi tayana anachelewa nipe hata huyo MFALME WETU niwe Malkia wake..!! 😹😹😹Nilikua busy, simu kama zote hakuna utulivu kabisa. Hapa naona simu zimepungua so ngoja nishushe list ya nguvu🔥
Ametuacha kwenye mataa! 😊Tajiri yetu sasa hivi ni mwendo wa Benz tu🙌
Bila shaka kabisa, ye akatae tu 🤣Hii ni Mercedes C class ya mwaka wa mbele, tajiri umepoaaa tajiri umepoaaa🙌
binti kiziwi nilikuambia lakini nadhani unajionea
Umenijaza mpaka nimepost bajaji yangu mtsiewwww 😹Hii ni Mercedes C class ya mwaka wa mbele, tajiri umepoaaa tajiri umepoaaa🙌
binti kiziwi nilikuambia lakini nadhani unajionea
Usiwe na haraka, wewe tulia mm ndio sterling I know what I do. Tulia, ngoja kwanza tumalize kujadili hii Mercedes maana umenivuruga kabisa🙌Shusha, au kama vipi tayana anachelewa nipe hata huyo MFALME WETU niwe Malkia wake..!! 😹😹😹
Aje aungurumishe Benz la dada mkinga..!! 😹
Kabisa asee, nilikua Bado nimekariri Forester kumbe tayari yupo na Benz. Huyu usishangae siku chache zijazo akavura Jetour😅Ametuacha kwenye mataa! 😊
Siku ukichange mind na kutaka kuingia kkoo alafu akazingua asee sitamuelewa nitammind sana aseeBila shaka kabisa, ye akatae tu 🤣