Hahahaha
Tubariki basi mama.



Naomba rudisha avatar ya yule dada sijamaliza kuchora tafadhali





Utawafanya nini eti?Hii itakuwa ya mwisho kuiba na watasimulia
Yule aliyeamua kutugeuzia shingo..na short hair..
Dada gani?
Picha tasazali..Hahahaha
Ooooh!! Ngoja nimuombe mwenye nayo anitumie niiweke.Yule aliyeamua kutugeuzia shingo..na short hair..
Mie sasubiri tu unisuuze macho jamani. Mungu fundi khaaaah
Naisubiri eti..



Wezi si viumbe wazuri aisee..juzi juzi wameingia kwa mpangaji wa jirani wameiba tv vin'gamuzi viwili na 280k..wanalostisha Sana..Mie walinifanya mwaka jana nikauanza kwa majonzi. Walisomba vitu vya electronics vyoooote. Nikaanza upyaaa. Wezi wanakera basi tu.
Mie sasubiri tu unisuuze macho jamani. Mungu fundi khaaaah![]()




Yaani wanakeraaaaaa. Mtu anabeba kama aliviweka vile. Mie bahati sikuwa na hela ndani. Nilizichukua asubuhi ili nikitoka kazini nipitie nikalipie kodi. Kurudi home ndio nakuta majangaWezi si viumbe wazuri aisee..juzi juzi wameingia kwa mpangaji wa jirani wameiba tv vin'gamuzi viwili na 280k..wanalostisha Sana..

Halafu siku nyingi ujue haujatubariki humu. Hebu fanya kamchakato jamani.
Dada niache uko
Pole Sana..huyo mdada alilia na alitakiwa asafiri siku mbili mbele mama ake alikua mgonjwa nilimuonea huruma Sana..wezi hawa si wakuonewa hurumaYaani wanakeraaaaaa. Mtu anabeba kama aliviweka vile. Mie bahati sikuwa na hela ndani. Nilizichukua asubuhi ili nikitoka kazini nipitie nikalipie kodi. Kurudi home ndio nakuta majanga![]()
Nitakuwa mtu kabla wiki haijesha.. Wana wamekata dirisha na kutembea na smart 47incView attachment 1281319View attachment 1281320