Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaa!!! Ni yeyeeee.
Mtasema yoteee leo.
 
Jipigie makofi umeshinda [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila Kantry bana!! Unajua tushagombana kitambo hukoooooo mwaka ushapita. Hapa kila nikijitahidi nikuchachue naona [emoji533] yako nalegea nahairisha [emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo upo hapa kwaajiri ya kutoa siri zetu?? Haya zitoe zote usiache hata moja yani zote toa.!!
Halafu mbona umenikalia kooni nini mbaya??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uwiiiii!! Hebu mlete akiwa full huyo rafiki yangu.!! Ndo walivyokudanganya huko pm wanakojadili watu?? Sijawahi kuwa na rafiki wa saloon. Circle yangu wote wakulima mahi..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…