Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wifi Ms R unacheka nini?? Nilikwambia mi na beibeyyy wangu tunajuana sio wa kutuingilia.
 
Anakuzidi vingi, mwenzio yuko na familia yake wanafurahi na wakisikia baridi wanapeana joto. Ww mpk simu zako zipokelewe si utachina
Mengine hapo sio kwel....suala la kupokelewa/kutopokelewa inategemea Kuna kipindi hadi nawakimbia Kuna kipindi natafuta kwa tochi lkn mwisho wa siku maisha yanasonga
 
Mtandao bana, sijakublock beibeeyyy πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
Mbona tukiwa tunaongea kwa muda mrefu voda wanatukatia umesahau??

Hasira bana huwezi kufa beibeeey wangu, ntabaki mjane ujue πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
Mwah πŸ˜˜πŸ’‹
Njoo tubet Euro imeanza
Unazingua
 
Mengine hapo sio kwel....suala la kupokelewa/kutopokelewa inategemea Kuna kipindi hadi nawakimbia Kuna kipindi natafuta kwa tochi lkn mwisho wa siku maisha yanasonga
Mhmm!! Huko sasa kujifariji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Muulize raraa reree anavyoshinda anavigonganisha πŸ’ pale pisi zinapogoma kwenda maghetoni
 
kumbe na kitambi unacho🀣🀣we upigwe tu risasi ya tumbo upepo uishe huo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sio kitambi na nyuma nimepigwa pasi hafu kibibi cha TANU
We huogopi??
 
Back
Top Bottom