Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,140
- 55,131
Ntafanya ujinga wote sio kusogeza pua yangu Kwa watu wanaoshare shuka, usiku wa manane wanaamka wanajadili mambo yao wanablesiana wanaomba Mungu wanalalaWala usitulize komwe muombe picha akupe uthibitishe, mi sipo naye mbona..!!