Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,569
- 95,201
Mangi una hekaheka 🙌🙌sikuhitaji kuongea kwenye simu nilipo siiwezi kupokea simu. na Hakuna msg inaenda ya kawaida wala Whatsapp labda Kama umeachia sasa hivi
Alafu msg uliyonitumia nimekuelewa sana, now I rest my case, Ila uachage ujinga.
Good day
WhatsApp yangu iko busy kuna vitu nafanyia marekebisho, na hizo msg za kawaida labda mtandao.
Hii tabia yako ya toka jana na leo sijaipenda kabisaa.!!