Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,276
- 87,091
Kwani hukuona jana nilivyokauka?? ๐๐๐mimi sasa nna kengeza๐๐๐๐sawa
Kwani hukuona jana nilivyokauka?? ๐๐๐mimi sasa nna kengeza๐๐๐๐sawa
Tungeishi Kwa hzo akili vingi visingelikaHiyo midudu inapenda uchafu, inakulaga had watoto wake ๐คฎ
Halafu vyeusi tiii ๐๐๐๐Hv njombe si wadada flan wafupi wanene๐
Kuna watu mlishindikana hamna kinyaa ๐๐๐Tungeishi Kwa hzo akili vingi visingelika
Aisee linah yule mm hata Leo akinipa nafasi mi naweka ndani, bonge mmojaa la mshangaziHalafu vyeusi tiii ๐๐๐๐
Si umemuona Linah Sanga alivyo??!
Najuta kutuma pcha hum๐๐Kwani hukuona jana nilivyokauka?? ๐๐๐
na hawez ona kamwe ๐Hajakuona jana ulivyotupia foto humu ๐๐๐
Mkivaaa surual mnachekesha mfupi mnene afu tacall lipo,Lamomy mwambie kuhusu mimi
Haya basi tulia acha kutuponda mfyuuu ๐๐๐Aisee linah yule mm hata Leo akinipa nafasi mi naweka ndani, bonge mmojaa la mshangazi
Kuna mambo mawili ukitia ustaaarabu hutakula Mojawapo nguruweKuna watu mlishindikana hamna kinyaa ๐๐๐
Wewe chombo bana wifi ๐๐๐na hawez ona kamwe ๐
Ustaarabu kwa nguruwe ๐๐๐Kuna mambo mawili ukitia ustaaarabu hutakula Mojawapo nguruwe
Unalala sahv kuna michuano ya EURO 2024 sherehe zimepamba moto muda huu ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐
Yule yupo excluded, Toka kitambo nlikuwa nammezeaga mate sema ndo vle tena machozi ya samakiHaya basi tulia acha kutuponda mfyuuu ๐๐๐
huyo mimi sasa,,sawa ipo siku utaniomba msamahaMkivaaa surual mnachekesha mfupi mnene afu tacall lipo,
na kunenepa sijawahi penda aseee๐๐๐๐๐พWewe chombo bana wifi ๐๐๐
Minyama mingi inamboa mlaji
Endeleeni kutafutia kasoro mdudu ila yy hana mda na nyie anajua utatupa kofia na kanzu umshugulikieUstaarabu kwa nguruwe ๐๐๐
Hata Yesu alihamishia mapepo huko
Akili kubwaz Mahondawaaaaazzzz gademu kisu u know ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅNaona kuna EURO build up hapaa
saa 21:50 Germany VS Scotland
Wajerumani wakiwasili