Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,140
- 55,131
Hv njombe si wadada flan wafupi wanene😁Kweli?? 😂😂😂
Huyu hawezi bana kafundwa kafundika, watu wa nyanda za juu kusini tuko vyedii sana
Hv njombe si wadada flan wafupi wanene😁Kweli?? 😂😂😂
Huyu hawezi bana kafundwa kafundika, watu wa nyanda za juu kusini tuko vyedii sana
Kwani hukuona jana nilivyokauka?? 😂😂😂mimi sasa nna kengeza😂😂😂😂sawa
Tungeishi Kwa hzo akili vingi visingelikaHiyo midudu inapenda uchafu, inakulaga had watoto wake 🤮
Halafu vyeusi tiii 😂😂😂😂Hv njombe si wadada flan wafupi wanene😁
Kuna watu mlishindikana hamna kinyaa 😂😂😂Tungeishi Kwa hzo akili vingi visingelika
Aisee linah yule mm hata Leo akinipa nafasi mi naweka ndani, bonge mmojaa la mshangaziHalafu vyeusi tiii 😂😂😂😂
Si umemuona Linah Sanga alivyo??!
Najuta kutuma pcha hum😂😂Kwani hukuona jana nilivyokauka?? 😂😂😂
na hawez ona kamwe 😂Hajakuona jana ulivyotupia foto humu 😂😂😂
Mkivaaa surual mnachekesha mfupi mnene afu tacall lipo,Lamomy mwambie kuhusu mimi
Haya basi tulia acha kutuponda mfyuuu 😂😂😂Aisee linah yule mm hata Leo akinipa nafasi mi naweka ndani, bonge mmojaa la mshangazi
Kuna mambo mawili ukitia ustaaarabu hutakula Mojawapo nguruweKuna watu mlishindikana hamna kinyaa 😂😂😂
Wewe chombo bana wifi 😂😂😂na hawez ona kamwe 😂
Ustaarabu kwa nguruwe 😂😂😂Kuna mambo mawili ukitia ustaaarabu hutakula Mojawapo nguruwe
Unalala sahv kuna michuano ya EURO 2024 sherehe zimepamba moto muda huu 🔥🔥🔥😄
Yule yupo excluded, Toka kitambo nlikuwa nammezeaga mate sema ndo vle tena machozi ya samakiHaya basi tulia acha kutuponda mfyuuu 😂😂😂
huyo mimi sasa,,sawa ipo siku utaniomba msamahaMkivaaa surual mnachekesha mfupi mnene afu tacall lipo,
na kunenepa sijawahi penda aseee😂😂😂🙌🏾Wewe chombo bana wifi 😂😂😂
Minyama mingi inamboa mlaji
Endeleeni kutafutia kasoro mdudu ila yy hana mda na nyie anajua utatupa kofia na kanzu umshugulikieUstaarabu kwa nguruwe 😂😂😂
Hata Yesu alihamishia mapepo huko