Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,276
- 87,079
Hapo chacha πππnikuaaaacheee nikuachie naniiiiπππ
Na uniachie nani kwa mfano?!! Oyoooo!! ππ
Wifi nnaye na natamba naye
Hapo chacha πππnikuaaaacheee nikuachie naniiiiπππ
Haya kaa kwa kutulia basiNachoona si nimekuambia.
π€£π€£π€£π€£ uongo huo!!nimetulia hadi nmeanza kujipitisha lakini wapiπππ
ππππYani ntakuganda weyeee had ujute kuniita wiiHapo chacha πππ
Na uniachie nani kwa mfano?!! Oyoooo!! ππ
Wifi nnaye na natamba naye
πππhana swaga kabisaπ€£π€£π€£π€£ uongo huo!!
Kaka yangu Mpaji Mungu anajisemesha hapa lkn km humuoni vile
πππππ Wee nigande km kupe hata usijali wifii wa duniaππππYani ntakuganda weyeee had ujute kuniita wii
Una kichwa kigumu, kupoteana ni kupoteza?Unipoteze umekuwa watu wasiojulikana?? Kantry unanichosha bana!! Halafu sijisikii kujibizana na wewe hizi taarabu zako
Una unafki sanaHaya kaa kwa kutulia basi
ukibadili id ntanusa aseee πππππππππ Wee nigande km kupe hata usijali wifii wa dunia
mchonganishi wewe πππππ€£π€£π€£π€£ khaaaaaa!!!
Mpaji Mungu winga ya kweli haya??
Unarukaruka km maharage chunguni hebu ongea basi unachotaka kuongea, mana unajikuta unanijua sana kuliko ninavyojijua mxiewwww!!Una kichwa kigumu, kupoteana ni kupoteza?
Hakuna taarabu bali ninadili na unafki ulionao, hii kazi nitaifanya. Huwa unapata faraja kwa njia ngumu sana
Battle lenyewe halinogi wooooiiii πΆπΎββοΈπΆπΎββοΈ niwache kiherehere na umbeaUnarukaruka km maharage chunguni hebu ongea basi unachotaka kuongea, mana unajikuta unanijua sana kuliko ninavyojijua mxiewwww!!
Usijali id siwezi kubadili naipenda sana hii id ina mbilinge nyingi πππukibadili id ntanusa aseee ππππ
πππ Si namuuliza km kwelimchonganishi wewe ππππ
Hata nashtuka bas kabla ya mnaita 'no swaga' baada ya mnasema 'bahili'π€£π€£π€£π€£ khaaaaaa!!!
Mpaji Mungu winga ya kweli haya??
badili usahaulike mazima πππUsijali id siwezi kubadili naipenda sana hii id ina mbilinge nyingi πππ
Imevuka misimu yote
Hakuna battle, kuna umbea na majungu tyuu!!Battle lenyewe halinogi wooooiiii πΆπΎββοΈπΆπΎββοΈ niwache kiherehere na umbea
ππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈHakuna battle, kuna umbea na majungu tyuu!!
Mi hata nikibadili chap wananijua πππbadili usahaulike mazima πππ