Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,276
- 87,080
Nisubiri tukimbie wote πππππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈ
Nisubiri tukimbie wote πππππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈ
Nachoongea si hicho auUnarukaruka km maharage chunguni hebu ongea basi unachotaka kuongea, mana unajikuta unanijua sana kuliko ninavyojijua mxiewwww!!
Winga sasa ukiangalia ganji nayopata itatosha kumuhudumia huyo kimwana....shida itakua alipotoka utakuta wa kawaida akija kwako anaupdate profile yake πhizi hela za kongoliii nazionea hurumaπ€£π€£π€£π€£ uongo huo!!
Kaka yangu Mpaji Mungu anajisemesha hapa lkn km humuoni vile
wamekariri mwandiko sio πππMi hata nikibadili chap wananijua πππ
ππππ Unammudu huyu winga, ni wewe kushikilia misimamo ya kiumeniWinga sasa ukiangalia ganji nayopata itatosha kumuhudumia huyo kimwana....shida itakua alipotoka utakuta wa kawaida akija kwako anaupdate profile yake πhizi hela za kongoliii nazionea huruma
una miguu mifupi utancheleweshaππNisubiri tukimbie wote πππ
Umbea na majungu? Ww umbea upo wapi na wapi nimepiga jungu ikiwa nakuambia hapa mwenyeweHakuna battle, kuna umbea na majungu tyuu!!
Wanajua nna hekaheka nyingi πππwamekariri mwandiko sio πππ
Nyama ni ya π·π·π·, zingine ni mboga tuππππ sio kweli, mimi mpenzi sana wa nyama hata kwangu nyama km tunda la pembeni haikosekani ila sio nyama ya mbwa bana
ππππ ninayo mirefu bana nisubiriuna miguu mifupi utancheleweshaππ
ukifa ntakurithi huko miaka ya mbeleni πππππWanajua nna hekaheka nyingi πππ
Nyama ya π· sijawahi kuipendaNyama ni ya π·π·π·, zingine ni mboga tu
una minyamanyama utancheleweshaπππππππ ninayo mirefu bana nisubiri
Utakufa presha mapema, hii id ina misukosuko ya ban mpk mods wamenichoka!! Na hapa nalazimishiwa ban kinguvu πππukifa ntakurithi huko miaka ya mbeleni πππππ
Nyama nizitoe wapi nimekaukiana hafu nyuma flat km ubao wa matangazo π€£π€£π€£una minyamanyama utancheleweshaπππ
nitavumilia kama weweπππmi mwenyewe nna roho ngumuUtakufa presha mapema, hii id ina misukosuko ya ban mpk mods wamenichoka!! Na hapa nalazimishiwa ban kinguvu πππ
We huogopi??
Hapo unansema mimi sasaππNyama nizitoe wapi nimekaukiana hafu nyuma flat km ubao wa matangazo π€£π€£π€£
ππππ Utashindwa mapema nakwambia, kwanza tupia pic nikuone wifinitavumilia kama weweπππmi mwenyewe nna roho ngumu
Ni mimi kweli sitanii basi tunafanana πππHapo unansema mimi sasaππ