Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa nitapike nn? Mbona unajihami sana?
Mm sina haraka, Ila mdogo mdogo utapoteana
Unipoteze umekuwa watu wasiojulikana?? Kantry unanichosha bana!! Halafu sijisikii kujibizana na wewe hizi taarabu zako
 
Una kichwa kigumu, kupoteana ni kupoteza?
Hakuna taarabu bali ninadili na unafki ulionao, hii kazi nitaifanya. Huwa unapata faraja kwa njia ngumu sana
 
Unarukaruka km maharage chunguni hebu ongea basi unachotaka kuongea, mana unajikuta unanijua sana kuliko ninavyojijua mxiewwww!!
 
Battle lenyewe halinogi wooooiiii 🚶🏾‍♀️🚶🏾‍♀️ niwache kiherehere na umbea
 
Back
Top Bottom