cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,420
- 188,162
Mbona nimepitwaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kweli babu?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi nakuja kuolewa kijijini
Mbona nimepitwaaaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kweli babu?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi nakuja kuolewa kijijini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Thubutuuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Babu wakati nasikia unawanyoosha mpk wanaomba wakuzalie
Ndio mjue mna kitu adimu ☺️huku mbona tupo wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Honeeeeyyyy [emoji7][emoji7][emoji7]
Ww mwanaume wa chuga em salimia kwanza!! Mimi nimewaita wanaselfika wote hapa waselfike na wewe ukiwemo. Cha ajabu unataka kuleta taharuki..!!
Halafu mambo ya vyumbani yanaishia vyumbani hujapitia jando?? [emoji23][emoji23][emoji23]
ungefafanua vizur hiko kitu adimu ingependeza zaidi😄Ndio mjue mna kitu adimu ☺️
Kumekuchaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba sio maadui tena? Ulichomind ndio ulichofanya, huu ni unafki. Acha
Unajua kutumia saikolojia vizuri wewe mtoa likes..Ndio mjue mna kitu adimu ☺️
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iPhone hiyo inafanya tunakuwa wazungu pori [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We huogopi???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariiiii tupuuuUna unafki na nakuahidi huu unafki nitaukomesha. Nimemaliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila Kantri una ujinga mwingi sana!! Kukutag km mwanaselfika imekuwa nongwa??
Unikomeshe kwa lipi?? Em acha mikwara basi beibeeyyyy [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Kipi kinakuuma kwani?
Unasifia tu pale inapo bidi hakuna namnaUnajua kutumia saikolojia vizuri wewe mtoa likes..
Kila upande upo....
😂😂😂😂 Njombe kipindi hiki hakuna kuogaUuuuweeeeh apo barid ila ilibidi nfungue kama fashion mwili upunge hewa😂😂😂😂
😂😂😂 itakubidi uduguu na niko kufatilia waharibifu wote nawaripoti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mabalozi wa amani hapanaa, mbona siweziii kabisaaa
😂😂😂😂 shauri yako we huogopi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweliii
Waje jomoooni tuone uumbaji wa Mungu 😂😂😂Subiri wanakujaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Treeeeenahhh watu na rangi zenu za udhurungi udhurungi 😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na upaja piaaa, mweupeeeeeeee!!!