Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thubutu kuna mtu anasave picha za watu humu, halafu zinanangwa PM, hapana kwa kweli ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Weee.!! Kumekucha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nani tena huyo anatuponda kina binti Sayuni??
 
Weee.!! Kumekucha ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Nani tena huyo anatuponda kina binti Sayuni??
Nilijua mrembo wewe utaanza ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ tulia usipigwe ban. Kaone hapo kanatamani umbea ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Nilijua mrembo wewe utaanza ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ tulia usiigwe ban. Kaone hapo kanatamani umbea ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nnavyopenda sasa hekaheka!!
Hapa nna arosto balaa, em nipe hiyo buana.
Kwanza anayetunanga yy yukoje??
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Nnavyopenda sasa hekaheka!!
Hapa nna arosto balaa, em nipe hiyo buana.
Kwanza anayetunanga yy yukoje??
Jamani jamani, Lamomy kipenzi. Mwenzako sijawahi pewa Ban mwaka wa 10 huu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ miye najua wewe ndiyo unamjua hivyo tukuulize ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
 
Babu mi mzima, nimewamiss pia ๐Ÿค—
Babu tupia ile picha yako ya mwaka 47 bac ๐Ÿ˜œ
IMG_20240613_171701_210.jpg

Picha ya Mwaka 47 hiyo, maana Wajukuu hawachelewi kuanza kuwabishia Wazee wao hapa ๐Ÿ˜œ
 
Jamani jamani, Lamomy kipenzi. Mwenzako sijawahi pewa Ban mwaka wa 10 huu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ miye najua wewe ndiyo unamjua hivyo tukuulize ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒโ€โ™€๏ธ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hatareee!! Hawakupi ban bana usijali.
Mi namjua??!! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nani huyo?
 
Back
Top Bottom