Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Thubutu kuna mtu anasave picha za watu humu, halafu zinanangwa PM, hapana kwa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zenye ukungu na umande wa ikonda njombe, vipi hazinangwiii huko?
 
Weee.!! Kumekucha [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani tena huyo anatuponda kina binti Sayuni??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnatakaa kuturudisha tulikotoka, mna amsha vilivyo lala. Woiiiiiih
 
Nilijua mrembo wewe utaanza [emoji12][emoji12][emoji12] tulia usipigwe ban. Kaone hapo kanatamani umbea [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom