Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,569
- 95,201
😂😂😂 basi ngoja nikupe hi na moja ya ss hiviBasi tusubiri kesho mida kama hii😁
😂😂😂 basi ngoja nikupe hi na moja ya ss hiviBasi tusubiri kesho mida kama hii😁
Babu korosho robo zote umemaliza peke yako! Bibi ajiandae leo🤸View attachment 3016522
Picha ya Mwaka 47 hiyo, maana Wajukuu hawachelewi kuanza kuwabishia Wazee wao hapa 😜
😍😍😍 babu hizo korosho au karanga?View attachment 3016522
Picha ya Mwaka 47 hiyo, maana Wajukuu hawachelewi kuanza kuwabishia Wazee wao hapa 😜
Sikuwahi kujua kama Mjukuu umekuwa mkorofi kiasi hicho 😅🤗Babu korosho robo zote umemaliza peke yako! Bibi ajiandae leo🤸
Inatosha delete tu babe utasumbuliwa sana PM😃😂😂😂 basi ngoja nikupe hi na moja ya ss hivi
Ni korosho Mjukuu, Babu yenu nimekuwa Mpenzi wa kula Korosho 🤗😍😍😍 babu hizo korosho au karanga?
Babu hutaki masihara na hali ya hewa, unajikoki 😂😂😂
😂😂😂😂 Wanaanzaje kunisumbua kibibi??Inatosha delete tu babe utasumbuliwa sana PM😃
Mtoto mbichi kabisa aaah😉😂😂😂😂 Wanaanzaje kunisumbua kibibi??
Utamfumua bibi mshono sasa 😂😂😂😂Ni korosho Mjukuu, Babu yenu nimekuwa Mpenzi wa kula Korosho 🤗
Hii hali ya hewa inawafaa nyie Vijana tu, sisi Wazee tumeshazeeka 😜
Nadhani hakuna aliyeiona zaidi yako, maana Mimi wakati nahangaika kutafuta miwani yangu ya macho ili nione yaliyomo nakuta ishafutwa 🙆😜Inatosha delete tu babe utasumbuliwa sana PM😃
Hapo sawa😅Nadhani hakuna aliyeiona zaidi yako, maana Mimi wakati nahangaika kutafuta miwani yangu ya macho ili nione yaliyomo nakuta ishafutwa 🙆😜
Umechelewa wifi nimefuta ss hivi, em anza kushusha yako hapa nione toto ulivyo msupuu 😍😍😍Lamomy & Poor Brain nione picha zenu kama kwel mnafanana
Kumbe eeeh!! 🥰🥰🥰Mtoto mbichi kabisa aaah😉
Babu muongo 😂😂😂Nadhani hakuna aliyeiona zaidi yako, maana Mimi wakati nahangaika kutafuta miwani yangu ya macho ili nione yaliyomo nakuta ishafutwa 🙆😜
Ni Bunyokwa eeh nipo njianiKumbe eeeh!! 🥰🥰🥰
Na umri huu naanzia wapi Mzee wenu 😜Utamfumua bibi mshono sasa 😂😂😂😂
Fuko lote hilo utatuumizia bibi yetu
🤣🤣🤣 Babe utaharibu lile G wagon lako kuna makorongo mengi hukuNi Bunyokwa eeh nipo njiani
Bahati miwani yangu ilikuwa mbali, ingekuwa jirani ningeona ile rangi ya Dubai 😜Hapo sawa😅
Ile ndio njia zake hizo...ipo vizuri kwenye rough road😅🤣🤣🤣 Babe utaharibu lile G wagon lako kuna makorongo mengi huku