Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,530
- 235,273
Shida huku killa mtu amelimaKweli chakula mnacho cha kutosha, niliona kiroba cha Viazi 20k Mwaka fulani 🙌
Nikaribisheni Babu yenu nije nilime huko 😜
Hakuna wa kumuuzia mwenzie chakula😂
Nimepita jana hadi roho ikaumia namna vitu vinauzwa bei ya chini
Ni hatari🔥🔥🔥
Huko Kyela ndiyo mipunga inavunwa
Bei kitonga sana,ndiyo muda wa kununua magunia ya kutosha.