Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umependeza babuu hakika mchana wangu unaenda kuwa barrrrrriiiddaaa kabisaaa! Santo sana!

Kila la kheri babu wasamilie uendako!
Asante Mjukuu, Wacha nimfate Bibi yenu huko huko Mjini

Maana tangu aende kusalimia Wakwe zetu huko Mjini, hajarudi huu Mwezi wa 7 sasa 😜 🙌
 
True love comes with jealous in it babu khakhakhaaaa! Kumbe hadi wazee mna wivuu😊!
Nilikua sijuiiii
Aliyesema Wazee hatuna wivu nani😅

Siku ukija kututembelea Likizo, nitakusimulia kisa Fulani na Bibi yenu Mwaka 1982, yaani bila kuchomwa zile sindano za kuniamsha mbona Presha ilitaka kuniua Kwa Wivu 🙌
 
Asante Mjukuu nitakaribia...🙏🙏

Hivi unaishi hapo Isanga ama upo kule Mjini? Kesho nitapita hapo 🤗
Tupo hapa kijijini Kawetere
Tunashuti tamthiliya Kali ya Bunji😂😂😂😂

Karibu
 

Attachments

  • IMG-20240608-WA0010.jpg
    IMG-20240608-WA0010.jpg
    69.5 KB · Views: 9
  • IMG-20240608-WA0012.jpg
    IMG-20240608-WA0012.jpg
    57.9 KB · Views: 6
Back
Top Bottom