Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,168
The most beautifullest thing in this world!
Umewahi kusikia simu ya upepo?Mzee hio 1982 hizo message mlikuwa mnatumiana kwa kifaa kipi?
Nakumbuka kulikuwa na zile rotary phones, unazungusha na kidole.
![]()
Mama yangu alinisimulia, Hizo alphabet zilikuwa zinatumika kam number, kuna baadhi ya number zilianza na alphabet, hivyo alphabets haikuwa kwa ajili ya kutuma sms kwa sababu hata screen haikuwa nayo hio simu ya rotary.
Number "0" ulikuwa unawapigia operators for assistance, ni kama customer care sasa hivi, ndio maana unaona imeandikwa operator hapo.
Wengine tumepanga kupata watoto Mwezi Machi Mwakani, hivyo huu ndiyo mwezi maalumu wa kuwatafuta😜🤗MWEZI WA 6 HUU KUNA WATU WAMESHAFANYA MAPENZI JAMANI🔌🔌🔌
Hamna mzee humu....wewe ni kijana kabs
Kuna mtu aliwahi kusema eti Uzee mwisho Chalinze, nasisi ndiyo wale Wazee tuliogoma kuzeeka.Hamna mzee humu....wewe ni kijana kabs
We utakua kijana around 30-40, ukienda sana haujazidi 44 hz swaga za millennials kbsKuna mtu aliwahi kusema eti Uzee mwisho Chalinze, nasisi ndiyo wale Wazee tuliogoma kuzeeka.
Tumepaka Piko nywele zetu ili kuondoa Mvi 🤗
Zingatia Mkuu, hiyo ni picha ya Mwaka 47 😜
Naona unataka kunipora shikamoo zangu kutoka Kwa Wajukuu zangu humu 😜We utakua kijana around 30-40, ukienda sana haujazidi 44 hz swaga za millennials kbs
Humu wazee tupo wachache sana hata kuandika tu ni tabu sasa kijana we unacontrol keyboard kama unapiga kinanda afu unataka tukae kingdom Moja na sisi tuliokuepo kipindi cha vita vya UgandaNaona unataka kunipora shikamoo zangu kutoka Kwa Wajukuu zangu humu 😜
Wazee tumekula chumvi nyingi ujue 🤗
Hahaha...........huenda nikawa Mzee Kwa umri kuliko wengi humu, useme kinachosaidia kuandika ni ile app ya kuongea then yenyewe ina-convert the spoken words into writingsHumu wazee tupo wachache sana hata kuandika tu ni tabu sasa kijana we unacontrol keyboard kama unapiga kinanda afu unataka tukae kingdom Moja na sisi tuliokuepo kipindi cha vita vya Uganda
Huyu ndio mnamuita mzee ,babu wa jf?
Huamini Mjukuu?Huyu ndio mnamuita mzee ,babu wa jf?
Hapana hio picha mbona kama ni miaka 41 au 42 babu wa mchongoHuamini Mjukuu?
Hiyo picha nilipiga Mwaka 1982, najua wengi humu hawakuwa wamezaliwa 😜
Hahahaha...................hujaacha ukorofi wako eeh 🤗Hapana hio picha mbona kama ni miaka 41 au 42 babu wa mchongo