Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20240513_133212_390.jpg
 
View attachment 3003362
Nimejaribu kukumbuka kisa cha Mzee mwenzangu aliyeachwa na Mpenzi wake Mwaka 1982 😜

Imagine ulikuwa ukinywa Maji unamwona kwenye glass

Hupati Usingizi usipopata meseji yake ya goodnight baby, hata kama meseji yenyewe unatumiwa saa 11 jioni🙌

#Tafadhali nieleze nawezaje kuishi bila wewe

Wazee pia huachika 🙌

Good morning 🥂
Mzee hio 1982 hizo message mlikuwa mnatumiana kwa kifaa kipi?
Nakumbuka kulikuwa na zile rotary phones, unazungusha na kidole.
il_794xN.4373263773_rehs.jpg

Mama yangu alinisimulia, Hizo alphabet zilikuwa zinatumika kam number, kuna baadhi ya number zilianza na alphabet, hivyo alphabets haikuwa kwa ajili ya kutuma sms kwa sababu hata screen haikuwa nayo hio simu ya rotary.

Number "0" ulikuwa unawapigia operators for assistance, ni kama customer care sasa hivi, ndio maana unaona imeandikwa operator hapo.
 
Back
Top Bottom