Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,329
Hayo mambo yanatugharimu kama Taifa, na Hawa Viongozi mbaya zaidi kwenye Mali na Madeni yao kupitia Viapo vyao kwenye time ya maadili ya Viongozi wa Umma huwa hawazitaji hizo Mali zao.Mkuu hilo ni jambo lisilowezekana.
Starlink itaua biashara nyingi za hawa wezi.
Issue hapa ni kulindana, wakubwa wengi wana hisa kubwa kwenye hizi Internet service provider companies.
Kwa kasi ya starlink na bei yake ilivyo chini itapelekea sells kwa hizi local companies kupoteza uelekeo.
Starkink inaweza connect devices 120 na speed ikawa stable.
Issue hapa si kuwatatulia wananchi matatizo issue hapa ni kulinda biashara za watu binafsi na vigogo.
Ukishakuwa na Viongozi Wafanyabiashara hakuna unafuu unapatikana Kwa Wananchi, maana wao muda wote wanawaza kutuibia tu 🙌